Dar es Salaam.
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Zaituni Bokhari amesema baada ya vipimo imegundulika kuna uwezekano wa kuwatenganisha watoto pacha...
Mwalimu Nyerere alisema kwamba maendeleo yetu yatakuwa ni matokeo ya siasa safi, Watu, ardhi na uongozi bora. Siasa safi zikoje na uongozi bora ukoje hakusema mahali pengine akasema kwamba kuna...
Nawaalika viongozi hawa waje kukutana na kuwasikiliza walimu wa shule za msingi wa Manispaa ya Kinondoni na ikibidi waondoke na mkurugenzi wao na afisa elimu wao.
Waheshimiwa mawaziri...
Hatua ya Serikali kwamba inaangalia uwezekano wa kufuta likizo ya uzazi inayotolewa kwa baba, imeibua mjadala huku makundi ya haki za binadamu na wazazi wakitaka iendelee kutolewa kutokana na...
Mtu mmoja ameshtakiwa na Maafisa wa polisi nchini Australia baada ya kuvunja na kuingia katika nyumba moja kabla ya kunywa shampeni na kulala kitandani.
Polisi wanasema jamaa huyo wa miaka 36...
Habari wanajukwaa.
Mara nyingi naona watu wakivaa pete za vito vya thamani kubwa. Nashindwa kuelewa ni urembo au ni nini. Mara nyingi hizo pete wanavaa kwenye vidole vya mkono wa kulia.
Nawasilisha.
Muombaji anatakiwa awe mtanzania kwa kuzaliwa;
1. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
2. Awe amehitimu kidato cha nne na kuwa na ufaulu wa daraja la kwanza hadi la nne kwa alama 28.
3. Awe na...
Habari wana jf
Ikiwa ni siku mpya na kila mtu akiwa kwenye purukushani za maisha tukiyandaa kesho mpya..hatuna budi kumwambia Mungu asante.
Lengo la Mimi kuleta mkasa huu hapa jamvini n...
Kufuatia wito wa Rais John Pombe Magufuli alioutoa hivi karibuni, hadi kufikia tarehe 01 Agosti, 2017 jumla ya wakimbizi 6,700 raia wa Burundi wameshajiorodhesha kurejea nchini mwao kwa hiari...
Uamuzi wa kuwaruhusu wanafunzi kuomba udahili moja kwa moja chuoni kumevilazimu vyuo binafsi kupunguza ada ili kuvutia wanafunzi
Vyuo binafsi vilivyotangaza kushusha ada ni Chuo Kikuu Bagamoyo...
Ripoti mpya imesema idadi ya watu wanaopata upofu duniani kote inaweza kuongezeka mara tatu.
Utafiti uliochapishwa kwenye Lancet ambalo ni jarida la afya linaloangalia afya ya dunia linatabiri...
MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX
Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya...
Za mjioni wakuu poleni na kazi.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza hapo juu. Kuna ugomvi mkubwa sana leo nimeushuhudia kati ya muosha gari na mwenye gari. Kama kawaida amepaki gari kaenda...
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni.
Nasikia kuna malalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo...
Nimeenda zangu bar moja Bunju njia ya Bagamoyo, lengo nipate mlo wa mchana baada ya kutoka kwenye kaujenzi kangu.
Sasa akapita Mmasai anauza Pochi za ngozi (walet) basi nikainunua hii Walet na...
Watalii na watafiti wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani hufika katika hifadhi ya Taifa ya Kitulo kwa ajili ya kuwaona ndege hawa ambao wanasafiri umbali mrefu wa kutoka bara moja kwenda bara...
Anaandika Mtangazaji wa Startv Dotto Bulendu.
Serikali inafanya jambo kubwa la kuhakikisha inaziba mianya yote ya kukwepa kodi,kundi pekee ambalo lilibakia nchini linalipa kodi bila kukwepa...
Ahueni iliyoanza kujitokeza kwenye sekta ya fedha nchini, imepigwa dafrao baada ya faida ya benki kubwa kupungua kwenye robo ya pili ya mwaka huu.
Itakumbukwa, benki hizo ziliyumba kuanzia robo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.