TAHADHARI KWA WALE WENYE MAGARI DAR ES SALAAM.
Kuna mzee mmoja wa makamo hivi, hupenda kuvaa kanzu, midomo yake imeungua kidogo. Mzee huyu ni MWIZI na JAMBAZI. Jinsi anavyofanikisha uhalifu wake...
Tunaomba mtusaidie na sie wenye vibamiya mtutengeze saizi zetu maana inatulazim kupiga kavu kwakua saizi zetu hakuna mie ndio mpaka nafungaga na balabendi ili nipige gem
Sent using Jamii Forums...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi, tanzania daima na mengine watuhumiwa wa matumizi mabaya ya ofisi na fedha za umma tshs. 3,853,629,517.90 (billion) ni hawa hapa.
1. Kanali Ayub...
Pole na pilika za kuijenga nchi yetu wakuu nimepata nafasi kidogo ya kupumzika kwakua hii ya hapa kazi tuu mtu unaweza kosa hata break hivyo niliyo nayo ni kama yafuatayo.
Ni kwamba kumekua na...
Wafaransa wametangaza kasitisha utumiaji wa mafuta ya diesel na petrol kwenye magari ifikapo 2040.
Uingereza pia wametangaza nao.
Lakini Norway wataanza 2025.
Hii ni kwa sababu ya uchafuzi wa...
Ndg...wana Jforum...yahusu wafanyabiashara wa barabarani bunju mwisho stendi mbona Serikali haiwahamishi kwa nguvu hawa watu...kwani ni Serikali yenyewe imetoa agizo within a week...
Je nimtaalamu ya wa mambo ya mitandao? Kati ya mirackle na gsm ipi inapiga kazi kisawa sawa. Na je kuna Apps inayopiga kazi kama Adobe photo shop? Nakama ipo naiomba. huo hapo ni uonekano wa gsm...
Wadau nini kimejificha apa nacte walikua watoe vyeti mwishoni mwa mwezi wa 7 jana wameweka tangazo hadi tar 12 na ukizingatia mwisho wa maombi ni tar 11 nidhairi kua waliomaliz 2015/2016...
Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, Mh Salum Mwalimu amesema wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake, kufanya fujo na kujaribu...
Waungwana poleni na majukumu,
09/08/2016 nilibahatika kufanya mazungumzo na mke na baadhi ya ndugu wa Alphonce Mawazo inasemekana baada ya mazishi viongozi wa CHADEMA walitoa ahadi kwa familia ya...
Wanawake India wamekumbwa na Taharuki ya kuibiwa nywele zao baada ya kuleweshwa na madawa ya kulevya na kukatwa nywele bila ridhaa yao.
Inajulikana kwamba wanawake wa Kiafrika hasa ndio...
Magunia zaidi ya 1000 ya dawa za kulevya aina ya bangi yamekamatwa na kuteketezwa na Jeshi la polisi wilayani Arumeru kwa muda wa miezi mitatu huku watuhumiwa 37 wakiwa wamekamatwa na 12...
Ni kuhusu Soko Jipya la Bunju mbona wafanyabiashara wa barabarani Bunju stendi wamekaidi hawataki kuamia soko jipya na serikali mbona haichukui hatua kuwahamisha kwa nguvu hawa watu.
Tatizo ni...
Mkuu wa wilaya ya Kongwa Deogratius Ndejembi amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuwachukulia hatua za kisheria ikiwemo kuwafuta kazi wauguzi wanne wa hospitali ya wilaya ya Kongwa kwa...
Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli inaendelea kuimarisha na kuboresha huduma katika sekta ya Afya nchini kuanzia ngazi ya kijiji mpaka Hospitali ya Taifa.
Mipango ya haraka...
Jeshi la Polisi Mkoani Katavi limewaua watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wakati wa majibizano kati yao na Askari wa Jeshi la Polisi.
Baada ya kupoteza maisha kwa Majambazi hao, Polisi...
Ajali mbaya imetokea Nzega ndogo karibia na Nata Semi aina ya SCANIA imeigonga Suzuki na kusababisha watu watatu wa kwenye Gari ndogo kufariki hapo hapo..
M/mungu azilaze roho za marehemu mahala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.