Mwizi mwanamke akamatwa akiiba PC(Laptop) UDSM

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,420
1,718
*TAARIFA*

Ofisi ya Warden pamoja na ofisi ya wanafunzi hall 7, tunapenda kuwajulisha kuwa leo tarehe 1 August 2017, amekamatwa mtu(mdada) anayesadikika kuhusika katika wizi wa PC hall 7 miezi michache iliyopita. Mwizi huyo amekamatwa akiwa ameshaiba PC 3 huko hall one.

Hivyo basi uongozi unapenda kuwajulisha kuwa, wale wote waliowahi kumuona maeneo ya hall 7, muwasiliane na Katibu hall 7 ili tuweze kufanya utambuzi na kuthibitisha kuwa ni yeye, hasa kwa wale ambao bado mpo Dar es salaam.

Tunaomba ushirikiano wenu tafadhali.

IMG-20170802-WA0008.jpg
 
JF ni notice board ya UDSM?, post ilivyoandikwa its as if kila mwana UDSM hupita hapa muda wote. BTW, si vibaya akiwaibia wateja wake. huenda tip off mnayompa mnapomchukua pale ambiance jaitoshi
 
Wanafunzi wapo likizo.
 
*TAARIFA*

Ofisi ya Warden pamoja na ofisi ya wanafunzi hall 7, tunapenda kuwajulisha kuwa leo tarehe 1 August 2017, amekamatwa mtu(mdada) anayesadikika kuhusika katika wizi wa PC hall 7 miezi michache iliyopita. Mwizi huyo amekamatwa akiwa ameshaiba PC 3 huko hall one.

Hivyo basi uongozi unapenda kuwajulisha kuwa, wale wote waliowahi kumuona maeneo ya hall 7, muwasiliane na Katibu hall 7 ili tuweze kufanya utambuzi na kuthibitisha kuwa ni yeye, hasa kwa wale ambao bado mpo Dar es salaam.

Tunaomba ushirikiano wenu tafadhali.

View attachment 556260
Mwizi kama huyo mi ningemshika, ningemfungia chumbani, tiba ya pekee nimgempiga mbu.pu wiki nzima naamini hata siku nikimuachia lazima arudi mwenyewe chumbani kwangu, chezea dushe!

Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom