Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tafadhali MENEJA wa eneo husika fuatilia suala hili madibila watu wanatozwa rushwa nje nje, Takukuru Kazi kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wengi ambao hawajafanikiwa kwa namna moja au nyingine au waliyafikia mafanikio hayo kisha hawakukaa sana katika mafanikio hayo kisha wakaporomoka sababu kuu ni utovu wa nidhamu. Huwa napenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtumishi wa idara ya ujenzi ambaye ni dereva wa mtambo wa ujenzi (excavator) Bw. Sunday Sindole amejikuta yuko matatani baada kutiwa nguvuni na vyombo vya usalama kwa matumizi mabaya ya mtambo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana bodi za kutwa wakuu nina kuku wangu wa kienyeji wana wiki sita . kuanzia juzi kuku watatu wamezubaa na wanaharisha njano. Nimeshawapa dawa ya Limox lakini haikuwasaidia na sasa nawapa Biox...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Barabara iliyojengwa kuzunguka nyumba baada ya mzee wa kichina na mkewe kukataa kuhama kwa sababu ya kuahidiwa fidia ndogo. Jengo pekee lililosimama katikati ya barabara mpya baada ya mzee mmoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bomu la lililotengenezwa kienyeji lenye uzito wa robo kilo, limekutwa kwenye shamba la moja la mikorosho katika kijiji cha Madimba kata ya Madimba mkoani Mtwara,na kuleta hofu kubwa kwa wakazi wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
DC HAPI AMALIZA MGOGORO SUGU WA ARDHI NAKASANGWE *Unahusu wananchi zaidi ya 3200 *Umedumu miaka 13, kupoteza maisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi leo amefanya mkutano wa hadhara na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama kichwa cha habar kinavoeleza, hii imetokea kisiwan bwiro wilayan ukerewe ni baada wanawake wawili kupigania mwanaume inavosemekana kuwa wote walikuwa wachepukaji kwa mwanaume mmoja. Matokeo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo Cha VETA nchi nzima, wafanyakazi hawajalipwa mishahara mpaka leo, pamoja na kuhusu zote zilizofanywa na Baraza la chama chama Cha wafanyakazi kwenye maeneo husika, japo kumekuwa na tetesi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mahakama ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, imemuhukumu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Butiama. Lawrence Mbaso (62), kifungo cha miaka saba jela. Mbaso ambaye ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
KUWAAMINISHA WATANZANIA KUWA PESA ZIKIJAA MFUKONI NDIO MAENDELEO YA UCHUMI NI UPOTOSHAJI MKUBWA USIFUMBIWE MACHO. NA JUMA GEORGE CHIKAWE Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu hali ya uchumi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habarini wanajamvi, Hivi unahisi kati ya kuwa maskini mwerevu na tajiri mjinga kipi kina afadhali..!!?
0 Reactions
36 Replies
6K Views
KUKANUSHA UVUMI UNAONEZWA KUWA JUMA GEORGE CHIKAWE NDIO MHUSIKA WA HABARI ZILIZOKUWA ZINATOLEWA NA GAZETI LA TANZANITE. Na George Juma Chikawe Nimepokea kwa mshituko mkubwa wa habari...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
DAR: Wakala wa Barabara nchini(TANROADS) waendesha bomoa bomoa kwa nyumba zilizo kwenye hifadhi ya barabara eneo la Kimara Suka.
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu, Inakuwaje hizi parking mpokeaji ni Kenya Airports? Kama wameshinda tenda kwanini zitumike anuani za Kenya au mpokeaji wa Kenya. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka wazi kuwa kwa sasa inakula sahani moja na kuwapa kibano kikali mastaa wote wanaokwepa kodi kupitia kazi zao kiasi cha kulikosesha taifa mapato yake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wengi wetu tunapenda kupata kupata au kumiliki nyumba maeneoa rasmi na yaliyopimwa! mdau mzuri hapa ni NHC lakini kuna mambo kadhaa yanasababisha wengi kutonunua nyumba zao sababu hizo ni kama...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Lazima Ujiulize ya kwamba ni alama gani utaicha chini ya jua kabla hajafa? Kimsingi tunaambiwa na vitabu vya dini ya kwamba kila binadamu ni mavumbi na atarudi kuwa mavumbi, kauli hiyo inaashiria...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia (ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini) katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321. Eneo lake ni funguvisiwa yenye visiwa 169...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr. Hamisi Kigwangalla amesema mkojo waweza kuwa na uhusiano na vitendo vya uchochezi. Akifafanua suala hilo baada ya mdau...
10 Reactions
201 Replies
22K Views
Back
Top Bottom