Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa anayekifahamu hiki chuo,kipo umbali gani toka mjini,mazingira yake kwa ujumla,mdogo wangu kachaguliwa huko
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Wakuu kama jana ningekuwa karibu na watangazaji wa kituo Fulani cha radio hapa jijini dar ningehakikisha nawalamba makofi angalau moja moja sababu tu ikiwa ni wao kushupalia mada walokuwa...
1 Reactions
3 Replies
949 Views
Financial lessons are necessary for someone who is in his 20s such that by the time they hit age 30, they have something – in wealth or asset form – to look back and be proud of. 20s are among...
1 Reactions
5 Replies
986 Views
Salamu, Hivi wakuu Hebu tufunguane macho hapa... Hivi hizo fursa zinazoambatana na hili bomba ni zipi?? Kwa watu waliopita Shule kidogo, ambao sio mainjinia watapata fursa gani kwenye huu mradi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Aisee hii kitu naona inatrend, kila mtu mastaa , matajiri, watafuta maisha kila nikipita huku na kule wanakushawishi ukadownload application zao. Sasa mi sielewi mtanzania ana application gani ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nini kimesababisha watumishi wa VETA kutopata mshahara wa mwezi July mpaka tarehe ya leo? Kinachosikitisha zaidi hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na management ya VETA kwenda kwa wafanyakazi...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Bumbuli Development Corporation (BDC) December 3, 2013 · Bodi ya Barabara Mkoani Tanga (TANROADS) imepitisha maombi ya kupandishwa hadhi barabara zenye urefu wa kilometa 130 zinazounganisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe Sent using Jamii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haya malori ambayo yanaundiwa mabodi ya mabasi na kuitwa mabasi yakipata ajali hasa ya 'kifo cha mende' sehemu yote ya juu ubonyea mpaka usawa wa chini wa madirisha. Inatokea hivyo kwa sehemu...
11 Reactions
71 Replies
14K Views
Habari ya furahi day! Naomba kujua au mimi ndio sielewi, inakuaje unasomesha mwanao shule ya kimataifa alafu anasoma mtaala wa Tanzania, kuna tofauti gani na mtoto anaesoma Nyampulukano ya...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Kama ambavyo tuliambiwa ifikapo July 2017 wataoweza kuendelea kukaa mjini ni vidume vya mbegu. Sasa wale vidume wenzangu ambao hadi sasa august hii tunakula happy mjini.. Na Windhoek tunakunywa...
1 Reactions
1 Replies
596 Views
Nchi yetu imepepitia vipindi vingi, ila kuna kipindi urasimu,madili, ubabaishaji na ujanjaujanja ulikithiri ktk taasisi za umma. ulikuwa kama ni core value ya mtu kuwa mtumishi wa Umma ingawa sio...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wadau, Napenda kufahamu mmiliki wa hiki kituo kipya cha Radio 93.7 E-FM. Tafadhali naomba kufahamishwa kwa wanaofahamu.. ======== JIBU SAHIHI: E-FM mmiliki mwenye share kubwa ni...
0 Reactions
136 Replies
112K Views
Mungu(kwa wale waamini na waaminio) ana njia zake tofauti za kufikisha ujumbe fulani kwa watu wake, kuna njia za moja kwa moja, kuna njia za unabii na kuna njia kupitia matukio fulani...
51 Reactions
163 Replies
16K Views
Wakuu...mwenye namba ya simu ya hii orphanage center iko pale Mburahati naomba anisaidie. Ninahitaji kuwasiliana na wahusika. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
4K Views
WATU watano wameuawa katika matukio mawili ya ujambazi kwenye mikoa ya Kigoma na Katavi. Taarifa za Kipolisi zinasema kwamba majambazi wanne waliuawa na watu watatu wakijeruhi wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tulipoambiwa "Watumishi hewa" tukashangilia sana, japo hatukuwaona Wakaja waliofoji vyeti na kutumia "Vyeti fake" wakapugwa bila huruma, ndipo wengine tukahoji uhalali wa DAUDI Albert. Limekuja...
39 Reactions
156 Replies
13K Views
Ni wiki ya tatu sasa tangu leseni yangu ya gari imeisha muda wake. Nilikwenda ku-renew wakaniambia nirudi baada ya wiki 2 maana materials za kutengeneza license zimewaishia. Nilivyorudi wakasema...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakati niko mdogo niliwai kusikia watu/mtu akipata rupia anakuwa tajiri sana, sasa mwezi uliopita nilikuwa nasimamia mgodi wa moonston Songambele ya matui. Wakaja watu 2 kijijini wantafuta...
0 Reactions
30 Replies
20K Views
Back
Top Bottom