Meneja wa tanesko Mbarali unajua kama watu waliolipia umeme wa REA Madibila wanalazimishwa kutoa rushwa ya 170000?

Toka lini tanesco mbarali wakawa smart mkuu? huyo meneja kama ndiyo Yule Yule wa tangu 2015 basi tambueni huo ni msiba.

anyway, jaribuni kuandika barua ya kulalamika na kuifikisha ofisini kwake as a reference itakayowasaidia siku Magu akiwatembelea
 
Mbona hiyo rahisi tu. Nendeni TAKUKURU, kunazile noti za mtego. Chukueni halafu muwashikishe wala rushwa hao.
 
Back
Top Bottom