Kipi bora, kuwa Tajiri Mjinga au Maskini Mwerevu

TAJIRI MJINGA VS MASKINI MWEREVU

  • Tajiri Mjinga

  • Maskini Mwerevu


Results are only viewable after voting.

Cascos

New Member
Oct 13, 2012
0
198
Habarini wanajamvi,

Hivi unahisi kati ya kuwa maskini mwerevu na tajiri mjinga kipi kina afadhali..!!?
 
Bora uwe tajiri mjinga utaheshimiwa na watu kwaajili ya utajiri wako ,utakacho utapata kwakuwa pesa zipo

Maskini mwerevu haikusaidii kitu utakula werevu!!!!!
ili hali watu wanapambana kuwa na maisha bora maisha yenyewe mafupi
 
Wapi we umeona tajiri mjinga? Dunia haina matajiri wajinga. Kama sio mwerevu huwezi kuwa tajiri (exception to inheritance)
 
Watu wengine bhana cjui akili zao zikoje.
Kweli dunian kuna tajiri mjinga??
Huo utajiri kaupataje?
Angalia werevu sio dili hapa dunian mjomba, miliki pesa uone ufalme wa mbingu tofauti na hapo utaishia kulalama tu.
Waswahili husema {MTUMIKIE KAFILI UPATE MRADI WAKO} sasa jifanye mjanja na umaskin wako uone km utapata hata wakuja kunywa maji kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa kwanza anaitwa Michael Carroll, mwaka 2002 alikuwa akimiliki utajiri wa pound 9,700,000 ambazo ni zaidi ya bilioni 28 na milioni 600 za kitanzania ambazo ndani ya miaka mi5 kapoteza pesa ooote na sasa anafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza biskuti.
Wa pili anaitwa Valentine Strasser. Huyu jamaa alishawahi kuwa rasi wa Sierra Leone mwaka 1992 - 1996 lakini kwa UJINGA wake leo hii ni 'ombaomba'.

Wa tatu ni Idris Sultan, wote mnamjua
Sierra Leone walichagua Rais mjinga?
 
Its better to cray on BMW rather than on bicycle

sent from my iPhone 6
Ha ha ha ha ha ha
Well said mkuu.
Umenichekesha sana. Japo umekosea neno cray-cry lkn ujumbe umefika.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
ufafanuzi tafadhali

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Mtoto nenda ukanyonye. Kitoto kidogo unarumia iphone. Mweeee
Hebu mrudishie mama hiyo simu. Kesho nitaanza kufuatilia km umefika shule.
Ndiyo madhara ya kutoroka shule haya mtoto mtukutu.
1+1=?
 
Back
Top Bottom