Matukio ya kikatili yamezidi mnoo mauwaji,ubakaji na ulawiti hasa kwa watoto wadogo wasio na hatia. Tutoe maoni yetu hali inatisha kama sio ww uliekumbwa na hyo kadhia basi jirani yako anaweza...
Ijumaa Karim wana JF. Naomba wenye karama na Hekima ya ufafanuzi wa mambo na masuala mnisaidie tofauti au ufafanuzi wa maneno hapo juu. Tafadhali kama huelewi chochote pita kmyakmya ukisoma...
Mimi ni mteja w TTCL nilikiwa na simu tajwa hapo. Simu ghafla wameidisconnect bila taarifa na sababu yoyote huku ikiwa na airtime. Nilipoulizia kwa mmoja wa wafanyakazi aliniambia wameleta aina...
Siku za nyuma nchi ikiwa na mafuta inakuwa tajiri mkubwa. Siku hizi na zijazo, jambo hilo haliwezekani tena! Hata Tanzania tusitegemee tutakuwa matajiri kwasababu ya gesi, au hata mafuta. Angalia...
Nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhari Jijini
Dar es salaam Sheikh Khalifa imevamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana na kufanya jaribio la kuchomwa moto nyumba hiyo ingawa...
Salaam wakuu,
Naomba anayefahamu upatikanaji na taratibu za kuingiza mbao au magogo kutoka Congo. Nina kaproject kadogo tu kanahitaji mbao kama miamoja za miti aina ya WENGE na BUBINGA. Hata kama...
Salaaam wana jukwaa,
Naenda moja kwa moja kwenye point, jamani tujifunze kutoa sadaka kidogo ulichonacho jitahidi umgawie mwenzio asiyenacho, huenda ndio maana wenzetu wahindi wamezidishiwa...
Wakuu Msafara wa Rais (motorcade) ni msafara Makini na Wenye dhamani kubwa Popote upitapo, Traffic sambamba na wana usalama Hukakikisha Msafara huu upitapo Basi Barabara Hufungwa na watumiji wote...
Wakuu kama jana ningekuwa karibu na watangazaji wa kituo Fulani cha radio hapa jijini dar ningehakikisha nawalamba makofi angalau moja moja sababu tu ikiwa ni wao kushupalia mada walokuwa...
Financial lessons are necessary for someone who is in his 20s such that by the time they hit age 30, they have something – in wealth or asset form – to look back and be proud of.
20s are among...
Salamu,
Hivi wakuu Hebu tufunguane macho hapa... Hivi hizo fursa zinazoambatana na hili bomba ni zipi?? Kwa watu waliopita Shule kidogo, ambao sio mainjinia watapata fursa gani kwenye huu mradi...
Aisee hii kitu naona inatrend, kila mtu mastaa , matajiri, watafuta maisha kila nikipita huku na kule wanakushawishi ukadownload application zao.
Sasa mi sielewi mtanzania ana application gani ya...
Nini kimesababisha watumishi wa VETA kutopata mshahara wa mwezi July mpaka tarehe ya leo? Kinachosikitisha zaidi hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na management ya VETA kwenda kwa wafanyakazi...
Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe
Sent using Jamii...
Haya malori ambayo yanaundiwa mabodi ya mabasi na kuitwa mabasi yakipata ajali hasa ya 'kifo cha mende' sehemu yote ya juu ubonyea mpaka usawa wa chini wa madirisha. Inatokea hivyo kwa sehemu...
Habari ya furahi day!
Naomba kujua au mimi ndio sielewi, inakuaje unasomesha mwanao shule ya kimataifa alafu anasoma mtaala wa Tanzania, kuna tofauti gani na mtoto anaesoma Nyampulukano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.