Msaada kuku wangu wa wiki sita wanaumwa

Msaada kuku wangu wa wiki sita wanaumwa

makundubhyali

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
2,389
Reaction score
886
Wana bodi za kutwa
wakuu nina kuku wangu wa kienyeji wana wiki sita . kuanzia juzi kuku watatu wamezubaa na wanaharisha njano. Nimeshawapa dawa ya Limox lakini haikuwasaidia na sasa nawapa Biox lakini bado hawajapata nafuu. Naomba ushauri wenu niwape dawa gani au lishe gani?
 
Mkuu pole, nenda jukwaa husika haraka huku uyapata hasara.
 
Tumia tyrodox, hao kuku wako wana mafua makali na typhoid, haya magonjwa ni kulwa na doto. Pia kumbuka muda wowote watapata ndui sababu wiki ya 6 au 7 ndio tunashauriwa kuwachanja. Wape kwanza hiyo dawa for 5 days kisha njoo utoe ushuhuda hapa. Mfugaji nguli. Fuso.
 
Back
Top Bottom