Bomoa bomoa eneo la Kimara suka

Bomoa bomoa eneo la Kimara suka

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,889
Reaction score
29,694
DAR: Wakala wa Barabara nchini(TANROADS) waendesha bomoa bomoa kwa nyumba zilizo kwenye hifadhi ya barabara eneo la Kimara Suka.
0a6b24bc1d7a4bcc943bbdef0a363897.jpg
cdb37fd594833ece4fe00418a524af3d.jpg
 
Hivi huku kuanzia Ubungo pale maji wameshapita?ilisemwa na lile ghorofa la pia liko barabarani vipi haliangushwi?
 
mkuu yaelekea hata habari ufatiliagiii..

bomoa boma haigusi ubungo hii.... x zimechorwa kuanzia kimara mpaka kibaha... ni upande ule sio wa ubungooo... ndio maana huoni watu wa ubungo wakilalamika

Hivi huku kuanzia Ubungo pale maji wameshapita?ilisemwa na lile ghorofa la pia liko barabarani vipi haliangushwi?
 
Ndo maana alisema ni heri kukosea kuchagua mke kuliko kukosea kwenye Uchaguzi!! kinachofanyika kwa jiji la DSM na kwingineko ni kisasi tu hamna lolote! watu wana roho mbaya sana, kujifanya kutii sheria, hizo sheria zimekuwa Mungu, hadi hazibadiliki? washenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom