Madimba, Mtwara: Bomu lakutwa kwenye shamba la mikorosho, hivyo kuzua hofu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Bomu la lililotengenezwa kienyeji lenye uzito wa robo kilo, limekutwa kwenye shamba la moja la mikorosho katika kijiji cha Madimba kata ya Madimba mkoani Mtwara,na kuleta hofu kubwa kwa wakazi wa Kijiji hicho na vijiji jirani.

Chanzo: ITV channel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom