Manufaa ya Nidhamu

Manufaa ya Nidhamu

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
1,051
Reaction score
1,845
Watu wengi ambao hawajafanikiwa kwa namna moja au nyingine au waliyafikia mafanikio hayo kisha hawakukaa sana katika mafanikio hayo kisha wakaporomoka sababu kuu ni utovu wa nidhamu.
Huwa napenda kumtolea mfano msanii Nasib Abdul almaarufu Diamond Platinumz, ukiangalia mahojiano yake yote utabaini kijana huyu japo kuwa na mafanikio makubwa lakini ana nidhamu kubwa sana ya kifedha na kitabia kwa wakubwa wake wa kazi na mashabiki zake kwa ujumbe yaan anaelewa ametokea wapi na ni wapi anapaswa kuwepo na nini cha kufanya.
Watu wengi baada ya kufanikiwa hujisahau na kuweka dharau na utumiaji mbaya wa fedha, yaan kwa ujumla nidhamu huporomoka hatimaye kuwashusha kimaisha. Kama unataka kufanikiwa na kudumu katika mafanikio hayo basi anza kuinoa nidhamu yako iwe ya kifedha, kitabia n.k... Usiku mwema wapendwa wangu!
Mtenga Gerald
TAECO LTD
www.facebook.com/TAECO2012
www.taecoltd.webs.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom