Risiti za parking Dar

Risiti za parking Dar

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Wakuu,

Inakuwaje hizi parking mpokeaji ni Kenya Airports? Kama wameshinda tenda kwanini zitumike anuani za Kenya au mpokeaji wa Kenya.
58c9c709f4722420eb489b1131b918c9.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda tenda hiyo wanayo hao wakenya
 
Wanatumia mfumo wa wakenya.. wakenya kwenye tehama wapo vizuri kweli kweli..
 
Kenya airport parking services limited. Ni kampuni hiyo.
 
Back
Top Bottom