Chukawe Jr
New Member
- Nov 20, 2016
- 2
- 1
KUWAAMINISHA WATANZANIA KUWA PESA ZIKIJAA MFUKONI NDIO MAENDELEO YA UCHUMI NI UPOTOSHAJI MKUBWA USIFUMBIWE MACHO.
NA
JUMA GEORGE CHIKAWE
Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu hali ya uchumi nchini na wachangiaji wengi wameonekana wakitumia kukosa pesa mifukoni kama kiashiria cha Uchumi kudorora mimi nasema ni UPOTOSHAJI ULIOJAA MASLAHI YA KISIASA ZAIDI.
Kwanza watanzania tunatakiwa kujua Uchumi wa Nchi unajumuisha vitu vingi sana na kati ya hivyo kujaa pesa mifukoni sio moja ya vitu hivyo. Unaweza ukawajaza pesa wananchi kama ilivyokuwa kwa MZEE RUKSA lakini uchumi ulidorola. MFANO MZURI NI ZIMBABWE Miaka ya 1995 -2005.
Nilizungumza katika andiko langu la juzi, kuwa uchumi wa nchi yoyote unajengwa na shughuli zq uzalishaji mali zinazofanyika. Na kuongeza kuwa shughuli za uzalishaji mali ndio zitaonyesha Taifa lina uchumi wa aina gani. Sitaki kwenda sana huko ila leo nitajikita hasa kuelimisha watanzania juu ya upotoshaji unaoendelea kuwa PESA KUJAA MIFUKONI NDIO ISHARA YA MAENDELEO YA UCHUMI.
DHANA YA KUWA NA PESA MFUKONI
Mambo muhimu ya kuyazingatia ili unielewe
1) Katika maisha ya kila siku Mtu yoyote anahitaji huduma au bidhaa
2) PESA inatuwezesha kupata bidhaa au huduma tunayohitaji katika maisha ya kila siku.
3) Huwezi KUWA NA PESA bila kufanya kazi halali au kwa maana nyingine bila kufanya uzalishaji mali wa aina yoyote ile.
Hivyo basi kimsingi kadri unavyojituma kufanya kazi au kuzalisha Mali ndio pesa unapata zaidi. Huwezi kupata pesa bila kazi au bila kujishughulisha na uzalishaji mali. Kabla ya kusema PESA HAKUNA MFUKONI jiulize maswali yafuatayo;-
1) Ni shughuli gani ya uzalishaji mali unaifanya kwa sasa?
2) Je wateja wako wamepungua?
3) Je biashara yako iko kundi gani ( biashara ya huduma au bidhaa muhimu au sio muhimu kwa maisha ya wateja wako?)
Biashara zinazohusisha huduma au bidhaa zisizo za lazima, kama vile Bar, Nguo, urembo, ukahaba wa barabarani na ule wa majumbani, saloon, massage pillow, maduka ya vipodozi, hotel, restaurants n.k. mauzo yameshuka kwa kiasi kikubwa sana.
Lakini kwa biashara ambazo ni za bidhaa muhimu kama vile umeme, Nishati ya mkaa au gesi, chakula (maindi, mchele,maharage nk.)daladala, bajaji, bodaboda, nyumba za kupanga, bado uhitaji ni mkubwa.
Kutokana na mabadiliko ya mfumo wa uchumi ( Economic structural change) kutoka shughuli za uzalishaji mali zisizo rasmi ( kama vile viosk, mitumba, mama ntilie, saloon nk) mpaka kuwa na uchumi wa viwanda hivyo kubadilisha Maeneo ya ujazo wa fedha ( Money flow) na kuzielekeza zaidi kwenye shughuli zanazochochea ukuaji wa viwanda.(Nishati, Maji, Reli, Ndege n.k)
Ni kweli kabisa wapo watanzania watalalamika kukosa fedha kwa sababu ya kufanya biashara ambazo sio hitaji muhimu kwa maisha ya wateja wao, kwa kiasi kikubwa watanzania tumepunguza matumizi yasiyo ya Lazima na kujikita kununua bidhaa au huduma ambazo ni muhimu kwa maisha ya kila siku.
PESA takriban Bilioni 560 kila mwezi(Mishahara ya wafanyakazi), Bilioni 18 Elimu Bure, Bilioni 40 malipo kwa wataafu, na zaidi ya Bilion 240 katika miradi ya kuwezesha uchumi wa viwanda kuwepo. Zinaingia katika mzunguko wa maisha ya kila siku.
Zipo fedha zinazoingizwa katika mzunguko na mabanki kupitia mikopo kwa wananchi. Hivyo kufanya pesa kuingia katika huduma au bidhaa muhimu tu. Kwa wale waliozoea kutoa huduma au bidhaa ambazo sio muhimu umefika wakati wabadili biashara hizo na kufanya biashara ambayo pesa inaelekea.(MONEY FLOW).
Kubadilisha biashara kutawasaidia kulinda mitaji na kusoma uelekeo mpya wa uchumi wetu wa Viwanda ili ujiunganishe katika value chain yake.
Haya ni maamuzi magumu ambayo Serikali ya AWAMU YA TANO Chini ya Rais John Magufuli imeyafanya kwa faida ya watanzania.
Lowassa alishawahi kusema nchi hii kila Mtu analalamika tu hakuna kufanya maamuzi ASANTE MUNGU umetuletea mfanya maamuzi sahihi kwa ajili ya Taifa hili RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
VIVA ..........MAGUFULI
VIVA ...........SAMIA SULUHU
VIVA ...........KASIM MAJALIWA
VIVA
WAZALENDO WOTE TANZANIA
NA
JUMA GEORGE CHIKAWE
TANZANIA KWANZA
UZALENDO WA KWELI