As Tanzania celebrates receiving $300m donation from Bill & Melinda Gates Foundation, we shoulad not forget our former presidents Jakaya Mrisho kikwete who strangled to establish a good...
1. Wazazi Wao nao Ni Rastafarian
hiyo Ni sababu mojawapo inayowafanya watu kuwa rasta, aidha wazazi wake au mmoja WA wazazi wake alishakuwa rasta, Na hivo mtoto kuvutiwa nae katika asili hiyo Na...
FEDHA ZA USHAHIDI ZAIBIWA MAHAKAMANI WAKATI KESI IKIENDELEA.
Fedha taslimu kiasi cha shilingi laki mbili zilizokua kielelezo katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili afisa wa polisi...
Kwenye mtaa wangu ninaoishi hatuma umeme toka kuumbwa Kwa Dunia . tumejaribu kufuatilia toka mwaka Jana mpaka Leo hakuna hata dalili
Ila kuna mdau ametudokezea ili tuletewe umeme sharti...
Habari ndugu zangu,
Eti wale watumishi takribani 3000 walioajiriwa mwaka jana april na kurejeshwa nyumbani kupisha uhakiki wa watumishi hewa , wamesharudishwa kazini?
Kwa watumishi wa serikali waliowengi hawana morale na tija ya kufanya kazi.Serikali ingekua na uwezo wa kuchunguza mioyo ya watu hao hakika wangestaajabu.Wengi wanahudhuria na kuwepo ila spirit...
Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao...
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6.
Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New...
NIMEKUTA MKAKA KAANDIKA HIVI JAMANI ETI NI KWELI?
・・・
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...!
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni...
Hii ni ishara njema sana katika kuondokana na lile bifu.Naamini yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo.
Vijana mkishirikiana mnaweza kuleta mabadiliko makubwa sana Dar na kitaifa.
Katika mfumo wetu wa maisha nchini kote popote utakapokuta kundi la watu zaidi ya wawili basi ujue kuna jambo wanajadili .
Ikitokea ukawa uko sehemu ya lile kundi LA watu kwa UPANDE WAKO huwa...
Mashidano ya kula pilipili kali katika mkoa wa Hunan nchini China.
Mshindi alipewa dhahabu ya karati 25 kwa kumaliza pilipili 15 chini ya dakika moja akiwa ndani ya maji.ambayo pia yamewekwa...
Hapo jana tumeshuhudia shirikisho la kandanda nchini kwetu likifanya uchaguzi wake huko mjini Dodoma na kupata viongozi wapya wataoliongoza shirikisho hilo la mpira wa miguu kwa kipindi kijacho...
Katika maeneo ya parking za zamani za billicanas bills mkamua miwa kwa machine special amepatwa na janga kiganja chake cha mkono kuvutwa na kunasa kama pichani hapo inavyoonyesha.. tarehe 12th...
Nilipo kuwa chuoni nikisoma maswala ya motisha, nilielewa kuwa, ili upate Tina kubwa katika mradi wako ni muhimu kutoa motisha chanya. Sielewi vema kama kuwapa madaraja watumishi wako kama ilivyo...
Picha halisi ya Deogratius Kisandu na Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela)
1.Picha ya kwanza ni ya kidato cha pili pale Magu Sekondari januari 1998 yenye Uniform, wa kwanza kushoto ni...
Waliofanya huu mchezo wa kubumba na kutengeneza mtoto wa kufoji anayesoma St. marcus nasema huyo sio mtoto wangu, watoto wangu wote bado wadogo sana na wengine wako bado shule za msingi...
Nimejarbu kupita karibu shule zaidi ya 300, nikitembeza vi-handouts kwa masomo mbalimbali. Awamu ya kwanza nilitembeza mkoa wa Dar es salaam, kisha Iringa, Moro, dom, singinda na Tabora...