Wapendwa Salaam,
Muda si mrefu nimepokea simu toka kwa mtu nisiyemfahamu, namba yake ni 0692 242 138 baada ya salam, akajitambulisha kwamba yeye anaongea toka Airtel huduma kwa wateja.
Swali...
Kijana aliyetambulika kwa jina la baraka Juma mkazi wa Majengo mjini Shinyanga amenusurika kifo baada ya kushushiwa kipigo kikali kutoka kwa wananchi kwa tuhuma za kutapeli kuwa anauza dhahabu na...
Nawaza tu kwa sauti!!!!!!!!!!!!
Tunasubiri Report ya Upelelezi juu ya waliohusika kumteka Roma...........mpaaka sasa iyo report ni hewa.
Kama aliyemteka Roma tiyari ameshateka na Report ya...
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa...
Wakuu,
Hizi pesa huwa katika fungu lipi la Bajeti ya Halmashauri na vigezo vipi hutumika kuzitoa kwa,wananchi?
Na fungu lake huwa ni shillingi ngapi?
Natanguliza shukrani!
Nimekuwa nikifuatilia mno mienendo ya Walinzi ( Bodyguards ) wa Viongozi Wakuu ( Marais ) wa nchi mbalimbali duniani ( ila kwa wa Tanzania sijawahi ) na kugundua kuwa wengi wao hupenda sana...
Habari waungwana,
Kutokana na maisha kuwa magumu, nimeamua kwenda Dubai kutafuta maisha kivingine. Kwa anaepajua au ataekuwa tayari kuongozana na mimi anakaribishwa kusema lolote la kunijenga sio...
Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania (GBT) kwa ushirikiano na Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro imekamata mashine 23 zisizo na viwango vya michezo hiyo ambazo hazijasajiliwa,kuziharibu na...
Wilaya ya Rorya ni moja ya wilaya za mkoa Mara iliyo mpakani kabisa na nchi jirani ya kenya. Wilaya hii ina makabila mengi lakini kabila kubwa ni wajaluo ambao pia hupatikana katika mkoa wa Nyanza...
Tasniaa ya anga imepata pigo kubwa kuondokewa na dada mpiganaji mpambanaji aliekua mfanyakazi wa ndege wa ATCL na baadae fastjet sn cc Huba Diwani
Mwenyezi mungu akuondolee adhabu ya kaburi akupe...
Uchunguzi uliofanyika hivi karibuni nchini Marekani unasema kuwa sasa ni wakati wa kuacha kutupa maganda ya mayai kwakuwa yana madini ambayo yana faida kwa binadamu. Badala ya kuyatupa maganda...
Wajawazito katika kijiji cha Kumbulu wilayani Gairo mkoani Morogoro kwa muda mrefu wamekuwa wakijifungulia majumbani na kuhatarisha usalama wa maisha yao na watoto au kulazimika kutembea umbali...
Wandugu,
Kwenye social media fulani nimeona ripoti kuwa kuna oparesheni inaendelea Loliondo ya kuondoa wakazi kwenye "maeneo ya hifadhi". Ripoti hizo zinasema kuna nyumba zilizochomwa moto, watu...
Habari wanajamvi....
Nilianza na kikwete na nikamaliza na kikwete.....
2005 wakati anaingia Madarakani nilikuwa najiunga form one shule fulan hivi ya Kata........
Hadi namaliza Chuo kikuu 2014...
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.
Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika...
KAIRUKI HOSPITAL introduces Tanzania's first and only CONTINUOUS RENAL REPLACEMENT THERAPY MACHINE (CRT);
Machine Attributes:
Used in ICU settings for...
Wanajamvi, naomba kuleta kwenu mada hii ambayo ninafahamu kuwa itapata wachangiaji wenye mitazamo hasi na wengine wenye mitazamo chanya, ukizingatia mitazomo iliyojengeka miongoni mwa wanajamii...
Kiasi kidogo cha $m.300 na upuuzi alizotupa billgates ni sawa na thamani ya utajiri wote wa bondia my weather.myweather ana utajiri wa $m340.
Hii Ina maana ni kwamba billgates anaaweza kumpa foyd...
WIZARA YA AFYA, MEANDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.
TAARIFA KWA UMMA
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anatarajia kuhakiki Mashirika yote Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 21...