huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,540
- 1,475
Habari wanajamvi....
Nilianza na kikwete na nikamaliza na kikwete.....
2005 wakati anaingia Madarakani nilikuwa najiunga form one shule fulan hivi ya Kata........
Hadi namaliza Chuo kikuu 2014 bado yeye alikuwa Rais
Chuo kikuu nilisoma bila stress#
Mkopo nilikuwa naupata kwa wakati sikupata shida yeyote pamoja na kwamba mm mtoto wa mkulima.......
Hatimaye kabla ya kutoka madarakani ukaniajiri,Asante sana.......
Na mkopo nakatwa kila mwezi ili na wengine wapate
NILIANZA NA KIKWETE NIKAMALIZA NA KIKWETE...
.
Asantee sana Kikwete...
Mnaosoma sahv hali ikoje huko vyuoni?????