Nilikuwa na jamaa yangu ananipa visa na mikasa mbali mbali ya Jiji la Mbeya miaka ya 1980s mpaka 1990s. Alianza kuniambia jinsi ambavyo miaka hiyo vijana wengi jijini mbeya ilikuwa lazima waende...
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi.
Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani.
Mitume ya...
Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji.
Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya...
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine...
Beatrice anakiri kuna maroho wachafu walikuwa wanawatawala.Maroho haya yaliwaambia ukristo siyo dini sahihi.Beatrice anakiri sasa ameokoka na kumjua Yesu na anamlilia Dada yake Martha kuwa...
Aliyeimba nyimbo vaileti ameshikwa kenya kwa kosa la kunajisi msichana .Angenunua papuchi badala ya kunajisi wauzaji(kahaba) ni wengi na bei ni kati ya 200 to 2000 za kenya.Sasa huenda atafungwa...
Hii ni sawa na kushiriki na dhambi isiyotuhusu asee.
Ni mdada mzuri alipoajiriwa tu mwaka jana basi kuna jemba yenye mke huko mkoa X ikaanza kuishi naye uchumba sio uchumba mke sio mke lakini...
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson imemkabidhi kiti mwendo na mtaji wa...
Abiria wa ndege ya Precision Air kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam safari yetu ilikuwa leo Jumamosi April 11, 2026 saa saba mchana lakini mpaka sasa hatujui safari itakuwa muda gani!
Tumefika...
AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection...
https://www.youtube.com/watch?v=5WA-NCdESww
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na...
Hamjambo!
Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.
Paulo/Saul...
Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata...
Ngurumo ya Kitheolojia Katika Moyo wa Roma
Vatican City – Kanisa Katoliki, ambalo limekuwa nguzo ya mafundisho ya miaka elfu mbili, linapitia mojawapo ya enzi zake za utata mkuu, hasa kuhusu...
Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani.
Kule...
Mwanamke mmoja anayetambulika kwa jina la Winfrida Emmanuel Mndeme mkazi wa Chanika, Dar es Salaam, aliyekuwa mjamzito na mwenye changamoto ya kusahau mara kwa mara, ameripotiwa kupotea nyumbani...
Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote.
Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto...
October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas
Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu...
1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k
2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za...
Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?
Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.