Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Featured
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo kati yake na Serikali. Katibu Mkuu wa TABOA, Priscus John, amesema...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Kama ulikuwa hujui, basi habari ndio hii: Mtu mwenye ngozi nyeusi kama sisi, ambaye sasa amefika mbali sana katika anga za juu, hajamsahau Mungu aliyemfikisha hapo. Huyu si mwingine ni Victor...
11 Reactions
89 Replies
2K Views
Uzuri wa JF kuna wataalamu wa kila aina hua nawaona sana wakiichambua vita za mashariki ya kati. Sasa leo nataka mnipe nondo zaidi kuhusu hichi kikosi kilichoenda kumnyakua maduro kama wanadaka...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk...
7 Reactions
102 Replies
1K Views
Moja kwa moja . Katika mechi ya kimataifa ya Kirafiki wiki hii kati ya timu ya taifa ya Uhispania (Spain) dhidi ya Misri (Egypt) kundi mashabiki wa Spain walisikika wakiimba na kuruka "Asiyeruka...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Upendo Nkone, amemuomba radhi Mwimbaji mwenzake Martha Mwaipaja kufuatia kauli aliyoitoa kwenye moja ya mahojiano, akidai kuwa aliwahi kutishiwa Maisha kupitia simu...
11 Reactions
33 Replies
736 Views
Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo...
8 Reactions
31 Replies
715 Views
Habari za Leo viongozi humu ndani hii ni barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi mimi ni mkazi wa Kigoma ujiji mwaka 2022 selekali kupitia TANROADS Kigoma walifanya vikao kadhaa na wananchi wa...
4 Reactions
14 Replies
214 Views
Katika pitapita zangu fb mara nikakutana na video ya Vicky Kamata kajipost facebook kwenye page yake akiuza sura na gwanda ya Tawa akiwa kwenye gari akielekea kwenye majukumu yake maana kwa sasa...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya SABABU ila inayoshinda na isiyo na shaka ni MOJA. SABABU. unakuwa na njaa sana kabla ya kula ukizingatia chakula Cha MSIBANI uchelewa kuliwa, mnaweza kula saa 9, 10, WENGINE ni...
5 Reactions
69 Replies
844 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya...
2 Reactions
2 Replies
401 Views
Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale...
12 Reactions
46 Replies
626 Views
Humo amesema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita 6000 kwa lita ambayo kwa Tzs ni milioni 16+ Akaongeza kwa USA bei ya mafuta ni dola elfu 8000 ambayo ni sawa na Tshs 20mil.
17 Reactions
40 Replies
803 Views
Naona sauti tunazopaza zinafikia wahusika, licha ya wengine kuweka 'pamba' masikioni na kuacha kusikia ushauri ambao pengine unaweza kuongeza tija kwenye mambo mbalimbali ambayo yemekuwa...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Wakuu kumekuwepo na mijadala mingi humu ya mivutano baina ya wanaokubali uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo huo Mungu mala zote ni mtenda miujiza,na amekuwa akifanya hivyo mala zote kwa waja...
15 Reactions
149 Replies
5K Views
Jamani nawasalimia wote kwa kila mtu Na imani yake. Kule jijini Mwanza kumeibuka mwanamama mmoja anajiita Mfalme Zumaridi na ana kanisa au sijui niseme nini, maeneo ya Nyegezi. Yeye haamini ktk...
2 Reactions
254 Replies
86K Views
Moja kati ya maeneo muhimu sana kuishi na kufanya biashara ya mazao (Mahindi, Ulezi, Maharagwe,.....) hapa Tanzania ni Tunduma border. Kwa siku kadhaa nilizoishi hapa Tunduma nmegundua vitu...
18 Reactions
151 Replies
20K Views
Ni Mwaka gani ulipitia nyakati ngumu zaidi katika maisha yako!
6 Reactions
27 Replies
514 Views
Back
Top Bottom