Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe kuwarejesha wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (Simu 2000) ili kuendelea na...
Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo.
1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au...
Tuendelele kuvumiliana wakuu.
Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe.
Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan )
Au kwa jina...
Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako.
Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha...
A cloud of uncertainty and concern hangs over the newsroom of Tanzania investigative weekly, Pambazuko following a troubling break-in that occurred on the night of April 9, 2026.
Unknown...
Aprili 2, 2026 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema nyumba zinazojengwa kwaajili ya...
Hii inatafakarisha sana. Huyu kiumbe Jin anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Kama ni Malaika basi alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha...
1) ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza bila hiyo(micro chip --chapa ya mnyama 666 chapa ya shetani.
inaanza na kuanguka vibaya kwa US Petrol dollar
US...
Zek 8:15 SUV
[15] vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope.
Kila mmoja anahitaji kufanyiwa jambo jema na Mungu, jambo la kuonekana...
kuna watu wanafanya umri wa kuzaliwa kama ni mashindano, na pale wanapogundua wao ni wakubwa wanafarijika na wanajisifia sana vitu vitokanavyo na ukubwa wao
watu wa namna hii huwa...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam...
Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda...
Nipo kwnye hatua za mwanzo hutengeneza business idea kwa ajili ya biashara maeneo ya migodini Leo nimeamka na hili wazo naomba ushauri.
01.kuuza miwani za KAZI kuzuia vumbi
02.kuuza mining safety...
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000.
Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000.
Pia umbali Toka...
Baada ya kero ya muda mrefu ya ubovu wa barabara kutoka kwa Mama Kibonge - Buza kuja Mtaa wa Mashine ya Naji(No.5) takribani km 3 sasa barabara imefungwa tangu mwezi wa kwanza 2026 kupisha...
Habari za muda huu kiongozi wa Jamii Forums,
Nikiwa kama Mtalii na mdau wa Utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, nipende kuwasilisha kero yangu Kubwa na kwa watalii wengine.
- Ikumbukwe...
1. Marekani- Mapipa milioni 22
Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku.
Marekani pia ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.