Africa itakuja kuelendelea lakini baada ya kupoteza kila kitu.. Bado tuna vitu vingi adimu, cya thamani kubwa na vya kipekee ambavyo wenzetu hawana tena lakini sisi hatuvithamini.. Leo tuangazie...
POLISI MBEZI KWA YUSUFU MNASTAHILI PONGEZI!
Mtu huyu (pichani) aliyejitambulisha kwa jina la Juma kutokea maeneo ya Bulula - Kimara Suka alikuwa amekamatwa akituhumiwa kufanya vitendo vya wizi...
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa...
Marko 6:2
Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza...
kila kitu na wakati wake right.
kwa chochote kile unachokipata hakikisha unakifurahia.
Usijibane mpaka unashindwa kuvaa nguo nzuri,kula vizuri,kwenda tour nchi za mbali et unabana uje uishi...
Kuna mwizi ambaye amekuwa akivamia nyumba za watu usiku katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma, Dar es Salaam, Goba, na maeneo mengine ambayo bado yanaendelea kuripoti matukio kama haya...
Nimeona uzi watu wanalalamika kodi ya kuagiza magari kwa Tz ni anasa kuliko nchi nyingine yaani mtu ananunua ist japan milioni 6 au 7 huku kodi unalipia zaidi ya bei uliyonunulia japan watu...
Wakuu, Mimi Simu kadi yangu namba moja ni Airtel, Nimekuwa na Chip hii for years ila kwa sasa ni almost mwaka mtandao wa Airtel hauko stable kabisa, Unasumbua sana kwenye Mawasiliano ya Calls kuna...
Jambo hili linaelekea kwenye historia ya kidini na uhusiano mgumu kati ya Wayahudi na Uislamu katika zama za Muhammad . Ili kulielewa vizuri, ni muhimu kuzingatia muktadha wa kihistoria na...
Inakuwaje unafanya uovu kwa makusudi kabisa ya mwananchi au kiongozi unambambikia kesi za uongo unamweka gelezani kwa muda mrefu. Unafikiria hata mpaka uamuzi wa kumtoa Binadamu uhai wake wa...
Hello guys 👋 name Shesrise🫰
Watu wengi tunasema chuki, lakini je, tunajua hasa ni nini?
Je, chuki inazaliwa ndani ya mtu au inajengwa kutokana na mazingira, maumivu, na uzoefu wa maisha...
Bodi ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) imemteua Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Said kuwa Balozi wa Kiswahili kutokana na uwezo, ushawishi na ushiriki wake kwenye masuala ya kijamii...
Huwa nikikaa na vijana hasa , ambao wapo early twenties na ambao wapo early thirties
Ni kama wanaishi katika Dunia FAKE ambayo sio genuine. O.G
Utakuta ana miaka 20+ ila anakuambia mpaka...
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Sabri Mabrouk, ametangaza mapendekezo ya viwango vipya vya nauli za mabasi ya abiria (daladala) jijini humo, yakionyesha...
1. Maana ya deni la taifa
Deni la taifa ni fedha ambayo serikali hukopa kutoka:
Ndani ya nchi (benki, mifuko ya hifadhi ya jamii)
Nje ya nchi (Benki ya Dunia, IMF, nchi washirika)
👉 Lengo ni...
Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia.
Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu...
Wizi unaanzia kwa maajanti wa mabasi ambao hupandisha nauli hovyo.
Hawana nauli ambazo ni standardized. Utakuta basi moja kila mtu amelipa nauli tofauti japokuwa wanaenda sehemu moja.
Wakati wa...
Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao
Akina chif godlove wanatajirika...
Kwa muda mrefu, wazazi wamekuwa wakiamka na presha za usafiri wa watoto wao—wakati mwingine mtoto anaondoka nyumbani akiwa na matumaini, anarudi na hadithi ya huzuni tupu.
Hata hivyo, nyuma ya...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.