Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://youtu.be/GftOsqTIKFQ?si=Qf2bw0aDqWMJkBn2 ushuhuda kama huu juu ya uwepo wa viumbe vingine vya kiroho kutoka kuzimu na vinajichanganya kati kati yetu sisi wanadamu hapa duniani katika...
4 Reactions
43 Replies
814 Views
Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana...
18 Reactions
234 Replies
21K Views
Just imagine bila wazungu tusingejua muonekano wa mwezi wala dunia, wazungu wameleta mwanga wametutoa kwenye giza. Bila wazungu sisi tungeishi kama wanyama porini tu. Waafrika tumefanya nini la...
14 Reactions
44 Replies
562 Views
Hii ni ile mifuko nyeupe inayotumika kufungia bidhaa hasa madukani na sokoni.. kiukweli jamii bado inaitumia na imekubalika kwa watumiaji sababu kuu ikiwa ni upatikanaji rahisi japo inaingia...
3 Reactions
17 Replies
336 Views
Kuna jamaa yangu kanifuata kavurugwa hapa ananiuliza kuhusu suala la kupambana na wahuni fulani mtaani kwao wamemdhurumu, sasa mimi kiukweli siyo mzoefu kwenye masuala ya kukomesha raia kwa njia...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu...
22 Reactions
330 Replies
3K Views
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki...
13 Reactions
59 Replies
2K Views
Jiulize Kuna uhusiano Gani kati ya mtu kuguswa bega na kupoteza mbor. o 😂 Yaani watu wanaiamin katika technology, uvumbuzi na science, Sisi tunauana ati mtu alikugusa bega ukapoteza nyeti...
4 Reactions
21 Replies
427 Views
Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi? Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha...
15 Reactions
49 Replies
933 Views
Baada ya makala ya uchafu kwenye mabasi ya njia hii iliyofuatiwa na makala ya abiria kusafirishwa kama wafungwa , sasa nimewaletea makala ya vyakula wanavyolishwa abiria hawa wenye uchovu na njaa...
11 Reactions
59 Replies
7K Views
Mamlaka za usafiri zinaangalia sana uimara wa mabasi yenyewe ikiwa ni pamoja na uimara wa matairi yaliyofungwa kwenye mabasi hayo, jambo ambalo ni muhimu sana kwa ajili ya usalama wa abiria...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
  • Featured
Mkurugenzi wa Udhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Abdallah Mhagama, amesema kuwa kanuni na sheria zinazosimamia utoaji wa huduma za usafiri ziko wazi, na zinaweka...
15 Reactions
101 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
6 Reactions
51 Replies
3K Views
  • Redirect
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe kuwarejesha wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (Simu 2000) ili kuendelea na...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Featured
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo kati yake na Serikali. Katibu Mkuu wa TABOA, Priscus John, amesema...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Kama ulikuwa hujui, basi habari ndio hii: Mtu mwenye ngozi nyeusi kama sisi, ambaye sasa amefika mbali sana katika anga za juu, hajamsahau Mungu aliyemfikisha hapo. Huyu si mwingine ni Victor...
11 Reactions
89 Replies
2K Views
Uzuri wa JF kuna wataalamu wa kila aina hua nawaona sana wakiichambua vita za mashariki ya kati. Sasa leo nataka mnipe nondo zaidi kuhusu hichi kikosi kilichoenda kumnyakua maduro kama wanadaka...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom