kwa jinsi Dunia inavyoenda kwa kasi mpaka sasa haswa katika kitengo cha mawasiliano.
Hakika tunaishi katika zama ambazo ukilinganisha na binadamu wa kale ni kama tunaishi peponi kila tufanyalo...
Arusha,
Kesi ya kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi iliyofunguliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kasulu ,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel inatarajiwa kuendelea kesho kwa...
Dar es Salaam.
Thamani ya mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kwa wiki iliyoishia Agosti 11 imepungua licha ya idadi ya zilizouzwa kuongezeka.
Wiki mbili zilizopita, benki...
Shinyanga.
Wananchi wa mtaa wa Magadula kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga wameifunga kwa mawe barabara inayoendelea kujengwa na kampuni ya ukandarasi ya Jasco Investment, kwa madai ya...
Wazir Wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba juzi alitembelea kituo cha polisi cha Mkalama,Singida kuangalia hali ya mazingira na utendaji kazi wa askari polisi.
Mkalama kama wilaya mpya...
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi jijini hapa wamelalamika kukosekana kwa uhakika wa upatikanaji wa saruji ya Dangote, hivyo kuwasababishia usumbufu.
Wakizungumza jana kwenye...
Mh.Rais kwa heshima kubwa nakupa pongezi kwa namna unavyoliongoza taifa letu.Mimi ni mkopaji tangu mwaka 2014 katika kampuni hii changa ya umma iliyoaanzishwa mwaka 2013 nasikia ipo chini yawizara...
Najaribu kujiuliza baada ya kuona wananchi wanakimbia TRA mitaani.
Kwa wanaokutwa Bila kujali anamtaji gani au anabiashara gani lazima awe na vitu vitatu...
1:leseni
2:Tin number
3:EFD machine...
Habari zenu Wanabodi,
Rais Magufuli aliamuru Sh bilioni 4 zilizopaswa kutumika kugharamia sherehe za sikukuu ya Uhuru, ambazo zingefanyika Desemba 9, 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya...
African-American Launches Ride-Sharing App to Compete with Uber, Lyft
Ride-sharing technology has boomed into a multi-billion dollar industry within the past decade with the biggest names being...
Mimi ni mwajiriwa wa serikali mshahara wangu nizaidi ya 1m kwa mwezi baada ya makato. nimeishi Dar kwanzia mwaka 2009 ,nyumba ninayokaa nlikua nalipa 180,000 kwa mwezi ni chumba kimoja ,jiko ,choo...
Twitter ni chombo cha mawasiliano anachopenda sana Rais Donald Tramp, lakini chapisho la Obama ndio lililo pendwa zaidi katika historia ya TWITTER.
Chapisho Hilo anamnukulu Hayati Mandela na...
Tunaomba chaneli mbadala ya TV1.Ikumbukwe kuwa Tv1 ilikua inyaonesha mashindano ya FIFA confideration Cup lkn kwa sasa hii chaneli haipo kwenye king'amuzi cha Azam na leo ni nusu fainali ya kwanza...
Usibweteke na uwepo wa Freemasons, wapo kila kona lakini hata hivyo vipo vikundi siri vingi sana visivyojulikana na tunaishi navyo kila siku....hawa ndio hatari zaidi kwani lengo lao ni baya na...
Najua ilikuwa ni sherehe siku ya kuzinduliwa tovuti ya wananchi.go.tz. Lengo la tovuti hiyo lilikuwa ni kuwa mahali pa wananchi kutoa maoni na kufuatilia mambo mbalimbali. Bila ya shaka kuna mtu...
Taarifa kwa kamanda wa usalama barabarani. Traffic Police wa Same, na leo walikuwa na gari lenye namba za usajili T353 BAJ wanawatoza faini madereva bila kuwa EFD risiti. Mheshimiwa rais...
Hata ukikata damu yangu ni lowassa tupu so Wanangu wa ukawa vidole viwili juu! ROMA MKATOLIKI kijana wa Simba. Miongoni mwa wasanii wachache wenye chembe ndogo ya unafiki, ama hana unafiki...
Mwandishi Wetu
HabariLeo; Monday,December 03, 2007 @00:04
MAKALI ya maisha kwa wananchi yanazidi kuongezeka kutokana na bei ya bidhaa mbalimbali kuzidi kuongezeka, hali inayoelezwa kuwa...
BAADHI YA KESI ZA KUSISIMUA (2005)
1. Mnamo tarehe 09/02/2005 huko uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar Es Salaam, Kikosi cha kuzuia dawa za kulevya kilichopo Dar Es Salaam kilimkamata...