Hakika ni ujinga kuforward meseji

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,131
2,008
kwa jinsi Dunia inavyoenda kwa kasi mpaka sasa haswa katika kitengo cha mawasiliano.

Hakika tunaishi katika zama ambazo ukilinganisha na binadamu wa kale ni kama tunaishi peponi kila tufanyalo ni miujiza ndani ya century tatu zilizopita. kukomaa kwa seta ya mawasiliano kumetufanya tuwe kama miungu maana jambo lolote waweza lijua kwa kuuliza katika search engine maarufu kama Google, bing na kadhalika

sasa kutokana na hali hii watu wengi kama makondoo wanasahau matumizi ya mbongo zao vichwani. kutwa nzima kuforward mameseji ya ajabu mengine ya kuchekesha mengine ya ushauri .. shit usije ukaniforwadia msg bila kunifafanulia umeelewaje. kutokana na ujazo mkubwa wa mbongo ntakosoa meseji zenye maudhui kama yafuatayo.

-kuna msg juu ya mpangilio wa maisha utashangaa limutuu bizzy limeforward meseg abot kuzaa mapema ili mtoto aje kukusaidia kabla kujazeeeka... serious do you know how lousy u sound...

Kwanza kabisa watakiwa kujua principle moja hapa duniani kila mtu na mzigo wake hamna kuzaa kumtwisha mtoto wako mzigo wako kwanza utazaa huyo mtoto wakati mahitaji yake muhimu ya kumpatia ili awe competence hauna. pyeee shingo ya pencilii we.

Hamna kazi yoyote ya kufanya zaidi ya kufikiria siku nzima.
 
Hahahaha...pole sana mkuu! Ndo dunia yetu hii, izowee tu kwasababu hakuna namna.
 
Back
Top Bottom