ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,286
- 1,131
Nimengalia hii clip imenitoa machozi aise
Daaah mungu ambariki mh makonda kwa huo msaada wa kuwapa walemavu miguu, naona aliamua kabisa kujichukua na video akitoa hio misaada huyu dogo ana hela sana mungu amzidishie, nawaza tu kama Bill Gates ,Bakheresa na wengine wenye hela wangekua wakitoa msaada mpaka wajirekodi sijui ingekuaje
Ni kwa manufaa ya watu kama nyinyi mnaobeza jitihada za watu binafsi,viongozi na serikali. Ili mjionee umuhimu wa kujitolea na kusaidia wale wenzetu wenye mahitaji ya muhimu bila kuingiza chuki za udini,ukabila,uchama,uzandiki,unafiki na mengineyo.Kwani kuna ulazima gani kumrekodi mtu akusifie kuhusu mchango uliomsaidia