tunawashukuru mmetuonesha live mapokezi ya hawa wadogo zetu walokuwa wanatibiwa marekani.
lakini ubora wa picha zenu unatutia aibu jamni sometimes picha haionekani vzuri mnunue camera bora zaidi.
Madereva pikipiki 'bodaboda' wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kufichua vijana wanaojishughulisha na shughuli za uhalifu kwa kutumia kivuli cha bodaboda ili kuondokana na na vitendo vya...
Wanasayansi wanadai katika evolution binadamu alikuja kama sokwe akageuka binadamu.
Lakini wanasiasa wamekuja kama wanadamu wamegeuka sokwe.
Sio Mimi ni mistari ya FidQ ya muziki.
Nimecheka sana...
Katika kipindi cha Majadiliano asubuhi ya leo Redio TBC Taifa imeonekana watanzania waliowengi hawana sifa za Diaspora kama nchi za India,Thailand,Zimbabwe n.k
Majadiliano hayo kuolekea...
Kumekuwa na mauaji,uporaji na hata utekaji kwa kutumia silaha.
Nadhani ni vizuri kila Mkoa na wilaya kupitia ofisi za Serikali ikaanzisha operation Maalum ya kukusanya silaha zinamilikiwa kinyume...
Watoto mapacha ambao walizaliwa mkoani Morogoro wakiwa wameungana maeneo ya tumboni wamefariki dunia ktk Hospitali ya Taifa Muhimbili walipokuwa wakisubiri matibabu na jaribio la kutenganishwa...
Kwani kwenye Biblia na Quran inasema kuwa Adamu na Hawa waliambiwa wale matunda yote yaliokuwapo katika bustani ya Edeni lakini ule mti wa katika matunda yake wasile.
Je, huo mti unaitwaje na...
Habari za shughuli wandugu naomba kueleweshwa kwa habari ya carrying subject huwa ni mara ngapi kulirudia hilo somo au hakuna limit? na je kuna hasara yeyote unayoipata zaidi ya ile ya kupoteza...
Nimeyapenda haya *MANENO YA HEKIMA*
*Nyati wanaua watu 7 kila mwaka.*
*Simba wanaua watu 500 kila mwaka.*
*Kiboko wanaua watu 800 kila mwaka.*
*Mabuibui wanaua watu 5000 kila mwaka.*
*Nnge wanaua...
Makamu wa Rais wa TCCIA Octavian Mshiu akimkabidhi nyaraka ya shukrani Afisa mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Joseph E Haule
Chama cha wafanyabiashara, viwanda na kilimo...
Habari wadau naukiza huyu mtangazaji wa kituo cha ITV na Radio One yuko wapi kwa sasa maana ni muda kidogo sijamuona kwemye television wala kumsikia radion yuko wapi?
Sent using Jamii Forums...
nasimam kwa niaba ya wanyonge wenzngu ambao wakubwa wamezoea kutunyonga kila siku japo hatufi.povu langu liwafikie nyie kampuni ya Airtell Tanzania.
Hii leo inakatika wiki sasa intanet yenu kwa...
Maisha yetu ni yanaakisi (reflection) akili zetu, (We Become What Think About) tunachowaza akilini mwetu ndicho kinachojionesha katika maisha yetu ya kawaida.
Hakuna yeyote ninayemfahamu...
Ni takribani wiki mbili mkoa wa morogoro bia za Tanzania breweries ltd zinauzwa kwa kusuasua au kuadimika kabisa mtaani,kwa uchunguzi mdogo nliofanya huu mji una maagent 3 ambao ni munishi...
ILEMELA, MWANZA: Mwanamke mmoja amekutwa akiwa ameuawa na watu wasiyofahamika na mwili wake kutupwa kwenye nyumba ambayo haijamalizika kujengwa (Pagala) huku akiwa amefungwa kwenye mfuko wa...
Wadau naamini mnakumbuka jinsi Babu Wa LOLIONDO alivyoitikisa Afrika mashariki hususani Tanzania Kwa tiba yake ya KIKOMBE Kwa magonjwa mbalimbali.Serikali ilimtambua Babu na jumps msaada Mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.