Sijakuelewa mkuu,nieleweshe tafadhari.
Philips X2560
Poa poa mkuu,sio kwamba nalaumu wao kupewa madaraka ila nilitaka kujua utaratibu ukoje,afya huwa inaangaliwa au la,ko kama ulikuwa unafahamu lolote ungetumia tu hekima yako kunijibu kulingana na nilivyouliza.Nimeshatoka huko Mkuu. Jitahidi sana uwe unamuelewa GENTAMYCINE tafadhali. Vipi idadi ya Viongozi unaowajua Wanaumwa au wana Afya mbaya imeisha?
Poa poa mkuu,sio kwamba nalaumu wao kupewa madaraka ila nilitaka kujua utaratibu ukoje,afya huwa inaangaliwa au la,ko kama ulikuwa unafahamu lolote ungetumia tu hekima yako kunijibu kulingana na nilivyouliza.
Philips X2560