mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,183
- 1,083
Katika Tanzania ya leo tumefika mahali ambako maneno ‘ukweli’ na ‘uchochezi’ yanaonekana kama yana maana moja.Mwandishi wa habari na wa magazeti akiandika ukweli mtupu bila kupindisha anaangaliwa kama mchochezi. "www.jamhurimedia.co.tz ,January 26, 2016 Tumeshindwa kutofautisha ukweli na uchochezi -Makala"