mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Aug 17, 2017 #1 Wakuu hawa jamaa unashangaa asubuhi unaamka ndani peupeee Hebu tushirikishe wewe unatumia mbinu gani?
Wakuu hawa jamaa unashangaa asubuhi unaamka ndani peupeee Hebu tushirikishe wewe unatumia mbinu gani?
mitale na midimu JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 10,419 Reaction score 17,765 Aug 17, 2017 #2 Juu ya sinia weka kijiko kikubwa cha kupakulia wali. Hapo ni zaidi ya kufuli la kontena la makinikia...
Juu ya sinia weka kijiko kikubwa cha kupakulia wali. Hapo ni zaidi ya kufuli la kontena la makinikia...
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Aug 17, 2017 Thread starter #3 mitale na midimu said: Juu ya sinia weka kijiko kikubwa cha kupakulia wali. Hapo ni zaidi ya kufuli la kontena la makinikia... Click to expand... Mkuu ntajiongeza
mitale na midimu said: Juu ya sinia weka kijiko kikubwa cha kupakulia wali. Hapo ni zaidi ya kufuli la kontena la makinikia... Click to expand... Mkuu ntajiongeza
L luhuye JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 289 Reaction score 253 Aug 17, 2017 #4 funga kamba kati ya mlango na mguuni
iddy eba JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 573 Reaction score 1,176 Aug 17, 2017 #5 Duh, c ufuge mbwa mkuu
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Aug 17, 2017 Thread starter #6 iddy eba said: Duh, c ufuge mbwa mkuu Click to expand... Mbwa wanapewaga dawa wanalala hadi siku 2 Hujawahi ona mkuu?
iddy eba said: Duh, c ufuge mbwa mkuu Click to expand... Mbwa wanapewaga dawa wanalala hadi siku 2 Hujawahi ona mkuu?