Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,730
- 8,815
Wakuu kwa siku kama 2 hivi naota ndoto kwamba nna uwezo wa kukimbia sana
Yani nakimbia kwa speed ya farasi na sijui wapi naelekea ghafla ndoto inakata
Huwa nakimbia nakutana hadi na wanyama wakali lakini kutokana na speed yangu wale wanyama nawaacha mbali but kabla sijafika niendako ghafla ndoto inaisha kutamalaki asubuhi hiyooo
Wenye ujuvi wa kutafsiri ndoto wanitafsirie hii.