Kwa sasa nimeachana na series zote za mbele...
Now nafuatilia ya Muheshimiwa mmoja anae fahamika kwa jina la Muheshimiwa Maajaliwa!
Ana series yake moja inaitwa "FARU JOHN"...
CCM...Mmetufikisha Hapa.....
Bombadier, ni nyie....
Makinikia, ni nyie......
Samaki wa....nani nani sijui, ni nyie....
Escrow, ni nyie.....
Fedha kwenye mifuko ya jamii kama vile PPF, mnazuia watu...
Natumaini kuwa wote ni wazima wa afya njema, Jina la BWANA lizidi kuhimidiwa daima.
Mimi ni mhitimu wa kada ya afya mwaka 2015 katika chuo fulani, jana nimeona MOH wametoa nafasi za ajira, ili...
Kuna taarifa za baadhi ya wanainchi kuchomwa visu na kuporwa mitaani kwao hususani wilaya ya Temeke na vijana wanaosadikika ni wapiga debe walifukuzwa vituoni.
Wamesikika wakisema kuwa...
Katika jambo hili kuna hoja au issues zifuatazo
1. *Je, TANROADS wana mamlaka ya kupiga faini kwa kosa la mwendokasi?*
*JIBU*
TANROADS kama mamlaka ya usimamizi wa barabara chini ya Sheria ya...
Wote ni mashahidi jinsi faini za barabarani zinavyoingiza hela nyingi sasa hivi haswa jijini dar es salaam
Nashauri kitengo hicho cha traffic maarufu kama Police revenue authority(P.r.a)...
Habari za asubuh wakuu,
Naomba nijue taratibu na gharama za kubadili ownership ya gari TRA.
je pia gharama inategemea pesa mliyouziana?
natanguliza shukurani za pekee; Gari ina cc 1980 na kwa...
Rais wa Shirikisho la Soka nchini Wallace Karia ametoa shukrani zake za dhati kwa wote waliofanikisha ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho hilo Agosti 12, 2017.
Wallace alisema kuwa...
Ndugu zangu katika pitapita zangu nimeikuta hii. Je, wanaoshabikia hili la ndege kutokufanikiwa kufika kwa muda stahiki tuwachukulieje. Je, niwazalendo kweli,au walishauri serikali haikufuata...
Hapa alikuwa anampa ushauri mu America mwenzake aliyekuwa anakuja tz
Hi Paul,
You have asked the right person if you want to know about medical things and Tanzania, and having a baby in Tanzania...
Waziri wa afya Maendeleo ya Jamii jinsia wazee na watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu, ameiagiza timu ya uendeshaji wa huduma za afya ya mkoa wa Rukwa, kusimamia utendaji wa vituo vyote vya kutolea...
Arusha. Jopo la madaktari bingwa wa Shirika la Stemm la Marekani kwa kushirikiana na Serikali, limeamua kuwapeleka Marekani kwa matibabu majeruhi watatu wa ajali ya wanafunzi wa shule ya Lucky...
Nilitembelea leo ofisi za NSSF Dar es salam zilizopo Ilala karibu na Amana hospital.
Wateja nilio wakuta hapo walikuwa na Khali ya Kukata Tamaa na maisha.
Malalamiko/Manung'uniko yao ni kuhusu...
Habari wadau wa JF !
Hakuna mtu asiyejua kwamba, kwa dunia ya leo "Ubunifu" ndio kila kitu.
- Lakini kutokana ukosefu wa mitaji kianzio na fedha za usajiri, vijana wabunifu wamekuwa wakiibiwa...
Ni miongoni mwa maofisa wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi wanaotarajiwa kuagwa katika hafla inayotarajiwa kufanyika kwenye chuo cha Taaluma ya polisi jijini DSM , Wengine ni aliyekuwa kamishna...
Wakati huu kuna mkutano wa maendeleo ya miundo mbinu ktk jiji la dar kati ya mkuu wa mkoa, madiwani, wenyeviti wa mitaa na mainjinia wa jiji.
Vituko vimeanza mara baada ya mkuu wa mkoa kuruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.