Series Ya John a.k.a KifaruJohn.

Series Ya John a.k.a KifaruJohn.

Melvine

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
720
Reaction score
1,388
Kwa sasa nimeachana na series zote za mbele...
Now nafuatilia ya Muheshimiwa mmoja anae fahamika kwa jina la Muheshimiwa Maajaliwa!
Ana series yake moja inaitwa "FARU JOHN" [emoji23][emoji23][emoji23] bonge moja ya series...


Ila kiukweli kwenye hii picha Muheshimiwa anapambana kila kona kudhibiti walaji haramu!
Naipenda sana hii sababu hawa walaji haramu walituambia JOHN aliumwa sana kiasi cha kupungua kilo na kudhoofika mpaka mauti ilipomkuta [emoji22] [emoji30][emoji30]

kilichonishangaza baada ya hapo, Muheshimiwa alipotaka maelezo zaidi akaletewa pembe za JOHN huku waliobeba dhamana hii wakisema tayari washamzika.

Muheshimiwa katika Season3 akataka John afukuliwe apimwe DNA coz mshikaji aliaacha watoto [emoji41][emoji848][emoji848][emoji851][emoji851].
Now tunasikia majibu kuwa mnyama kama yule akifa huwa anatolewa pembe, kama hana ugonjwa wanaachiwa wanyama kama fisi wamle [emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]


mwanzo walimjibu Muheshimiwa aliumwa sana na kupungua kilo kwa kasi mpaka kufa, now oooh tuliacha aliwe na fisi.


Muheshimiwa nakuaminia sana kwa hili najua hatochomoka mtu coz upo vizuri.

Mimi ninachokuomba kwenye season4 uniweke na mim [emoji23][emoji23][emoji23] na kabla sijasahau hii series nyimbo iwe ile ya YEMI ALADIE "WHERE Z MA JOHN" hah hah hah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Mmemuuza JOHN Pembe zake Milion 200 wakati pembe yake moja tu ina thamani ya dola laki4 [emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]

Muheshimiwa usituangushe wapige ndani hao wote, watambue kucheza na raslimali za nchi wakati ww ujinga huo hutaki na sisi wananchi wenye uchungu na nchi hii tunakupa sapoti sana, wafunge na kutoka kwao kuwe majaliwa.



#TeamFaruJohn#TeamMajaliwa
 
Nimependa sound track ya "where is my John" hahahha [emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nisubiri next season [emoji1448]
 
Hahhahah huyu mkuu maaajaaal alianza na vishindo bandarini mpk tra sasa naona kaishia kwa johnyyy hahahhaha nchhii hiii
 
Teh teh ameliwa na fisi? kama bwana John aliumwa sana kiasi cha kupungua kilo basi hata mzoga wake ni hatari kwa wanyama wengine ilitakiwa azikwe... Hiyo ni 1+1 = 11
 
Magembe pia ni Profesa asiyefaa kuwa Waziri anapeleka ripoti asiyofanyia uchunguzi wa kina.
 
Kwa sasa nimeachana na series zote za mbele...
Now nafuatilia ya Muheshimiwa mmoja anae fahamika kwa jina la Muheshimiwa Maajaliwa!
Ana series yake moja inaitwa "FARU JOHN" [emoji23][emoji23][emoji23] bonge moja ya series...


Ila kiukweli kwenye hii picha Muheshimiwa anapambana kila kona kudhibiti walaji haramu!
Naipenda sana hii sababu hawa walaji haramu walituambia JOHN aliumwa sana kiasi cha kupungua kilo na kudhoofika mpaka mauti ilipomkuta [emoji22] [emoji30][emoji30]

kilichonishangaza baada ya hapo, Muheshimiwa alipotaka maelezo zaidi akaletewa pembe za JOHN huku waliobeba dhamana hii wakisema tayari washamzika.

Muheshimiwa katika Season3 akataka John afukuliwe apimwe DNA coz mshikaji aliaacha watoto [emoji41][emoji848][emoji848][emoji851][emoji851].
Now tunasikia majibu kuwa mnyama kama yule akifa huwa anatolewa pembe, kama hana ugonjwa wanaachiwa wanyama kama fisi wamle [emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]


mwanzo walimjibu Muheshimiwa aliumwa sana na kupungua kilo kwa kasi mpaka kufa, now oooh tuliacha aliwe na fisi.


Muheshimiwa nakuaminia sana kwa hili najua hatochomoka mtu coz upo vizuri.

Mimi ninachokuomba kwenye season4 uniweke na mim [emoji23][emoji23][emoji23] na kabla sijasahau hii series nyimbo iwe ile ya YEMI ALADIE "WHERE Z MA JOHN" hah hah hah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Mmemuuza JOHN Pembe zake Milion 200 wakati pembe yake moja tu ina thamani ya dola laki4 [emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]

Muheshimiwa usituangushe wapige ndani hao wote, watambue kucheza na raslimali za nchi wakati ww ujinga huo hutaki na sisi wananchi wenye uchungu na nchi hii tunakupa sapoti sana, wafunge na kutoka kwao kuwe majaliwa.



#TeamFaruJohn#TeamMajaliwa
jamaa mmoja mwenye dhamana kasema mahakama ya mafisudi haina kesi zaidi ya 'uvivu haram' basi kwenye season 4 waiunganishe na mahakama ya mafisudi humo japo pawe na kijikesi kimoja ila nina wasi wasi kama hta hii season 3 itamaliza, wataikatisha ghafla kama ile ya sukari.
 
Nadhani wanaogopana, kupata taarifa kauzwa mil200 na wameshalipwa mil100 inamaana anajua aliko Mr Faru John na aliyeuziwa nani. Kwa kuwa ni Series sawa. Ila tunachoshana akili.
 
John yupo ktk kuwahadaaaa raia...
Leo issue ya ndege imemuaibisha....
Huwa ananiboa John akiongea anarusha mikono kma anapiga mbizi....
John kashindwa inchiii
 
Back
Top Bottom