mwalukuni mchanyato
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 406
- 233
Ndugu zangu katika pitapita zangu nimeikuta hii. Je, wanaoshabikia hili la ndege kutokufanikiwa kufika kwa muda stahiki tuwachukulieje. Je, niwazalendo kweli,au walishauri serikali haikufuata ushauri?
Mimi naona nimda wa kusimama wasomi kuiendeleza nchi siasa zenu hazina tija kwetu walalahoi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona nimda wa kusimama wasomi kuiendeleza nchi siasa zenu hazina tija kwetu walalahoi.
Sent using Jamii Forums mobile app