Je Zamaradi Kawawa ni mtoto wa Rashid Mfaume Kawawa?

Mzee Kawawa alivyokuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, chama kilikopa hela nyingi kutoka NIC (Bima).

Basi deni likawa kubwa, siku nyingi, chama hakilipi.

Controller wa Bima akawa anamfuatilia Mzee Kawawa ili chama kilipe deni.

Mzee Kawawa akawa anamkwepa. Basi siku moja akaona amtolee uvivu. Controller wa Bima alivyomtafuta akakaa naye chini, akamwambia "kijana, mimi najua uhasibu. Katika uhasibu kuna ledger la "bad loans". Sasa huko Bima hamna hilo ledger la "bad loans" ?

Akaambiwa lipo.

Akasema basi tuweke humo.Deni liishe.

Enzi hizo chama kimeshika hatamu. Controller wa Bima akashindwa kuendelea kumdai. Ikabidi deni la CCM liishie kwenye "bad loans" ledger mpaka leo.

Watu wametafuna hela.

Kwa hiyo utawala wa CCM kukopa hela na kutolipa madeni haujaanza leo. Tangu enzi za Kawawa haya mambo yalikuwepo.

Ila sasa wanavyo deal na makampuni ya nje ambayo hawawezi kuyaambia tu "tuwekeni kwenye bad loans ledger" ndipo madudu yanaibuka.

Mlivyomtaja Mzee Kawawa mmenikumbusha hii habari.
 
Yaani hiki ki nchi kinachekesha sana. Kuna mijitu kama ndezi, watu washafanya nchi hii mali yao, na c kwamba wana akili, yaani sessions zingine zinahitaji watu dynamic, lkn wanawekana wekana tu, halaf anakuja MTU, kama ana sifa stahiki hamna shida, kama hamna shida mbona tunalipa madeni kizembe kama maboya!!! Watu hawana sifa wala akili hawana, bac tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anasoma kama mtoto anayejifunza kusoma,hajui kuongea,so terrible,mediocre ,aibuuuuuuu tupu kilichofanyika pale.
 
Back
Top Bottom