Kumekuwa na matendo yaliyozoeleka kufanywa kwenye vipindi vya vita toka enzi za kale lakini ni kwa miaka takriban 150 iliyopita ndipo mataifa mbalimbali yalikubali kuweka Sheria za Kimataifa za...
Asaalam wapendwa.
Kama mnavyojua leo ndo siku yenye klabu yetu pendwa ya YANGA inapigwa mnada kulipia deni la mil 300
Tunaomba mrjesho na updates mliopo eneo la tukio na nan anaibuka kidedea...
KATI YA KISWAHILI NA KIINGEREZA
Naomba kufafanuniliwa kwasabu kila nikijiuliza sipati jibu
Kunabaadhi ya zekta ukiingia utamuta kila fomu imeandikwa kiingereza yani hamuna ha sente ya miswahili...
Azam media imekuwa ikisifika kama chombo kilichoiubuka kikiwa na taarifa zenye hadhi, ubora, weledi na zisizokuwa na mrengo wowote.
Siku za hivi karibuni tunashuhudia wakianza kuwa na tabia kama...
Wanajamii nitawaletea tip kidogo ya kinachoendelea hapa uwanjani kIA,
Wanafuni, wazazi Na viongozi mbali mbali Wapo uwanjani.
====
=> RC Anna Mghwira awaongoza wakazi wa Kilimanjaro kuwapokea...
Wakuu,
Kumekua na makampuni mengi ya kidalali nchi hii, mfano EROLINK LTD, ISON BPO na mengine mengi.
Makampuni haya sana hana huchukua tenda za ku operate call center za kampuni mama mfano...
Mnamo Jumatatu tarehe 21 Agosti, tukio lisilo la kawaida litashuhudiwa Amerika Kaskazini, ambalo limewavutia watu zaidi ya milioni saba wanaotarajia kulishuhudia katika miji mbalimbali Marekani...
Wakala wa balabala nchini wetekele ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika hifadhi ya barabara ya mita 121.5, utekelezaji huo umefanyika leo maeneo ya kimara suka karibu na kanisa la Roman...
Mimi ni muathirika wa bei kubwa zinazotozwa kwa huduma ya bidhaa ndani ya hospitali ya KCMC .
Kuna mgahawa unatoa huduma wanauza vitu bei ghali na pia kuna duka liko kwenye container wameniuzia...
Naamu wale members wenzangu wa stuli ndefu, maji ya mende na kauli mbiu yetu ya 'Drink beer to save water'..
Moja kwa moja kwenye mada.
Mojawapo na kitu kinachokera zaidi baada ya kunywa pombe...
Wapenzi wa riwaya za gwiji wa riwaya nchini za kipelelezi Marehemu Musiba, riwaya yake kali imetoka inayoitwa kufa na kupona. Nenda kariako, Posta, Mnazi mmoja kwa wauza magazeti na vitabu...
Nimeshangazwa na hali niliyoiona na kuikuta kwenye tovuti ya shirikisho la soka Tanzania (TFF). Kilichonisukuma kuingia kwenye tovuti hii ni jambo ambalo kila mwanamichezo,mpenda soka au mtafiti...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetangaza kusudio la Kampuni ya Mycell inayomilikiwa na Quality Group Limited QGL ambayo imekuwa ikiongozwa na mfanyabiashara maarufu nchini Yussuf Manji...
Tafadhali Wadau, mwenye Link ya Historia ya Vita ya Kagera Ya Echolima Sehemu ya Pili, anisaidie nimeitafuta bila mafanikio naishia kuona sehemu ya Kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
Waziri amewatoa wanaume khofu kwamba wasihofie kile kipimo kinachotembea mitandaoni kwani kipimo chenyewe ni cha damu. Ameyasema hayo kaiwa Mpanda. Nadhani hii ni baada ya ile kampeni ya usiogope...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.