Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilifanya mabadiliko mengi yakiwemo baadhi ya makusanyo yawekwe Benki Kuu, nyingine zilifutwa... (tozo, ushuru, ada, kodi nk) Manispaa zilipaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toka juzi katkati ya jiji la Dar hasa mitaa ya makunganya, jamhuri karibu na roundabout ya Bharklesa, Bilcanas na kwingineko kulikuwa tafrani kubwa baada ya kuanza operation ya kukamata magari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni jambo la kawaida lakini kwa fani hii inayohusudiwa sana hili ni jambo la kuvutia kwa vijana, Familia hii huko Delhi wote ni marubani baba mama mtoto me mtoto ke wote fani moja.good. The only...
15 Reactions
49 Replies
7K Views
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam imesema wanaongoza kuvunja Sheria za Usalama Barabarani ni madereva wanaoendesha magari ya Serikali wakiwamo askari wa jeshi hilo. Kaimu Kamanda wa kanda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada wa namba ya kuongea na huduma kwa wateja nimetuma pesa kwa wrong number so naitaji nitalk nao ili wablock
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakuna asiyefahamu kuwa TBS ni Shirika la Viwango Tanzania, na TFDA ni Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania. Lakini kwenye utendaji kazi ndio nashindwa kuelewa ni taasisi ipi muhimu kwa Binadamu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ipo channel 10, Global Tv, TBC, na MU7 news. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Suala la ujangili umekuwa mkubwa sana hapa nchini na vita hivi vinahitaji sheria kali naomba serikali ipelekee mswaada bungeni ili mtu/watu wakipatikana na hatia ya kuua Tembo ama Faru adhabu iwe...
1 Reactions
0 Replies
912 Views
Wakuu mimi akili yangu yote inawaza Abroad Nipo masomoni bado ila nafikili zaidi kuishi abroad baada ya kumaliza Chuo, Nahitaji Brothers and sister mlioko mataifa mbalimbali nje ya Africa mnipe...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Jana niliifuatilia sana usomwaji wa bajeti ya serikali ya ccm na siku zote Nalia na déni la taifa tunalodaiwa watanzania limeshafikia trilioni 100 sasa kwa mujibu wa waziri wa fedha Sasa mipango...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA Kata ya Leguruki aitwaye Anderson E. Sikawa kabla hajahamia CCM kwa mbwembwe nyingi na matangazo ya kumuunga Magufuli mkono huko Arumeru, amepatwa na janga la...
25 Reactions
52 Replies
6K Views
Baba mmoja alikuwa akipenda sana kucheza karata na mwanae pindi wamalizapo kufanya kazi zao za asubuhi. Kutokana na uzee wa Baba, Yule ustadi wake katika mchezo wa karata ukawa ukipungua siku hadi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wandugu za wikiend Nafikiri wote mnajua Barabara zetu jinsi zinavyoonyesha kinyaa kwa ubovu wa Barbara zetu. Sasa cha kushangaza kwenye kongomano la Mkuu wa Mkoa kuhusu Barabara, Injinia wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Natanguliza malalamiko yangu tena kwa TRA, jana yamenikuta baada ya kujifanya mzalendo na kutaka risiti yenye thamani halisi ya mzigo, nimenyang'anywa mzigo na mwenye duka na maneno kibao...
14 Reactions
212 Replies
16K Views
Tokea karne ya 15 rasilimali za kiafrika ikiwemo Tanganyika zimekuwa zikiporwa kibabe na Wazungu na Waarabu. Rasilimali hizi hususani watu, madini, mazao mpaka mabaki na historia zimeishia...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Karibu channel Ten sasa ufuatilie mubashara mkutano wa maendeleo ya Dar City!! Ahsante. Update: Injinia wa manispaa ya Ilala anawekwa kitimoto na kuna kila dalili za kutumbuliwa kisa ameshindwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form...
3 Reactions
118 Replies
17K Views
Baada ya kurejea kutoka nchini Marekani kwa matibabu, wanafunzi watatu walionusurika kwenye ajali mbaya ya gari, asubuhi hii wanafanyiwa tafrija maalum shuleni kwao. Tazama live: LIVE: Hatimaye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwili wa mtu asiyejulikana umekutwa kwenye fukwe za Kawe ukiwa umefungwa kwenye kiroba Asubuhi Hii na Hadi sasa haujatambulika kuwa ni mwanaume au mwanamke. Mashuhuda wanasema kuwa wavuvi...
6 Reactions
133 Replies
14K Views
Kumekuwa na matendo yaliyozoeleka kufanywa kwenye vipindi vya vita toka enzi za kale lakini ni kwa miaka takriban 150 iliyopita ndipo mataifa mbalimbali yalikubali kuweka Sheria za Kimataifa za...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom