Rais wa TFF Wallace Karia atoa shukrani kwa wote waliofanikisha ushindi

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
21,537
2,000
c5df5545f33afe8dd4f79fe86330bc5a.jpg
Rais wa Shirikisho la Soka nchini Wallace Karia ametoa shukrani zake za dhati kwa wote waliofanikisha ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho hilo Agosti 12, 2017.

Wallace alisema kuwa Uchaguzi umekwisha ni wakati sasa kushirikiana kwa pamoja kuujenga mpira wetu.
 

Mkidi Mwako

Senior Member
Jul 16, 2016
199
500
Hebu hakikisha kwenye kipindi cha uongozi wako una kuwa fair na epuka u Simba/ Yanga, lisongeshe mbele soka letu.....

-Domhome-
Hawa hawawezi kufanya mambo ya ajabu kwa vile wanaona viongozi waandamizi kuwa lupango
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom