Mtaani hapa kuna nyumba 3 zimepigwa mnada kutokana na madeni ya mabenki.
Fedhea kwa familia niliyoiona ni huruma
Jamani msiombee yakukute haya utakufa kwa presha.
Bora ya BOMOA BOMOA unajua...
Nyuzi mbalimbali zinatikisa hapa nadhani wadau mnafahamu maana ya promo kama kuna Uzi uliusoma na ukakugusa au ukakuburudisha na ungependa na wenzako wausome Ili waelimike basi hapa ndio mahala...
Kuna ajali mbaya imetokea Leo Aug20 maeneo ya galapo babat baada ya gari aina ya Noah kuacha njia na kupinduka na kujerui abiria wote huku wengine wakijeruiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya...
ASKARI Magereza aliyekuwa akifanya kazi katika Gereza Kuu la Butimba lililopo katika Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza , amekufa baada ya kujimiminia risasi tatu kichwani.
Akithibitisha tukio...
Habari wanajukwaa....
Mimi kama kada wa CCM mwenye Mawazo Huru,ninayekubali kukosolewa na kukusoa panapobidi hata iwe ndani ya Chama Changu,naomba nipingane vikali na Serikali juu ya kinachofanywa...
TAARIFA
TULIKUA KWENYE MECHI YA MPIRA HAPA NJE UWANJA WA TAIFA , POLISI WAMEKUJA WAMETUWEKA CHINI YA ULINZI KOSA NI KUVAA JENZI ZENYE LOGO YA CHADEMA, WAKATI JENZI ZA UMOJA NI USHINDI NA ZA CCM...
Siku karibia vituo vyote vya runinga havitupi updates muhimu za hali ya hewa...ni wakati sasa mfahamu kwamba hizi smartphone msidhani kila mtu anazitumia kupata weather updates,hebu rudisheni...
Wahenga walisema, subira yavuta heri.
Lakini inaonekana kama huu msemo unapoteza uhalisia baada ya kampuni ya ACACIA Kugeuza kibao na kukusudia kutushtaki na kudai fidia ya trilion 4 kwa kosa la...
Wakuu tunarudi kule kule tulikotaka baada ya kufilisika 30 yrs back
Nashangaa hatujifunzi, mifuko ya jamii ni mali ya umma, hiyo COMMITMENT ITATOKA WAPI ?
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi...
Wadau heshima kwenu,
Hope humu kuna watu wengi walishafanya hii biashara na kujua changamoto zake, nimeoa wilaya moja mkoani kwetu huko kuna fursa ya kufungua ka-kiwanda kidogo cha kutengeneza...
Kuna kituo cha runinga kijulikanacho kama Star Swahili kinaonesha filamu zisizoendana na maadili yetu.
Leo jumapili muda huu (saa tisa alasiri) kunafilamu inaonekana watu wanavuana nguo,kuna dada...
Chukulia wewe na kaka yako mmerithi shamba kubwa sana la kahawa. Humpendi kaka yako unatamani afe ili shamba libaki mali yako.
Siku moja ukagundua kaka yako amekodisha kwa mzungu shamba lote...
Utawezaje ku-deal na situation au mtu wako wa karibu asiye penda maendeleo yako? Yawe ya kiroho ana ku-discourage, ya kiafya utasikia "unajisumbua tu na hayo mazoezi" yaani no support at all.Ebu...
Taharuki imeongezeka baada wa wachimbaji wadowadogo kuvamia eneo la Makazi ya watu na kuanza kuchimba.
Malalamiko ni pale wanapovamia kiwanja na kuanza kuchimba bila makubaliano na mwenye kiwanja...
Walasalam,
Naomba kama Kuna Mfanyakazi Yeyote wa Vodacom atusaidie wapi tunaweza peleka lalamiko likatatuliwa bila kusumbuliwa na Majibu ya hao Customer Cares.
Hivi Majuzi Vodacom wameintroduce...
Nimefanya utafiti wa ubora wa mabati Tanzania, nimegundua ubora ni uleule kwenye viwanda vyote Tanzania, wanachotofautiana ni ukunjaji wa migongo tu; lakini roller za mabati wote wanaagiza kutoka...
Mimi kama kijana msomi mlipa kodi wa kitanzania NADIRIKI KUSEMA WAZI KABISA kuwa sipo tayari kulipa hizo fedha tunazodaiwa.
Viongozi waliosababisha uzembe huu, bila ya kujali vyeo vyao au kinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.