Tuna haki ya kulipa kodi lakini tuna haki ya kujua jinsi fedha hizo zinavyotumika; kufanya makosa yanaleta matumizi ya ovyo ya fedha zetu hatutaki Maana tunaumia!
Ahmed Hussein alikuwa miongoni wa maelfu ya watu waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Somalia na kusaka maisha bora nchini Canada. Safari Ya Ahmed ilianzia Mogadishu na kuingia Canada...
Habari zenu ndugu zangu.Naomba msaada wenu juu ya suala la risiti.
Naishi Dar es salaam, leo wamekuja maafisa wawili nyumbani ninapoishi wa kikundi cha Dar es salaam environment "halmashauri ya...
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana majira kama haya saa mbili kasoro nilinunua kifurushi cha 5000. Mambo yakawa fresh nikapata huduma ya Chanel zao.
CHAKUSHANGAZA leo...
Two years ago Evan Spiegel came up with the app Snapchat as a college project. This week he turned down a $3 billion cash offer from Facebook to buy the company (!)
What makes a 23 year old...
Wakuu habari za kutwa matumaini yangu mmeshinda salama, twende moja kwa moja kwenye mada. Hii leo asubuhi saa nne na nusu nipo petrol station pale banana, ukapita msafara mkubwa wa askari...
Zoezi la ukaguzi wa mabasi katika vituo na udhibiti wa mwendo kasi wa magari katika barabara serikali imeweza kufanikiwa kwa kuzuia ajali nyingi zinazosababishwa na ubovu wa magari pamoja na...
Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.
Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na...
Account ya Twitter ya mwanahabari maarufu Millard Ayo imekuwa suspended, account hiyo nimoja ya account zenye wafuatiliaji wengi zaidi Tanzania
Sababu ya kufungiwa haijajulikana ila Twitter...
Habari wanabodi...
Mnamo tarehe 30.3.2016 Waziri Mbarawa aliwaambia wadau kwamba serikali imekubaliana na Shirika la kutengeneza ndege la Canada na ndege hizo zingeingia nchini ndani ya siku 60...
Hichi king'amuzi ni majanga walah mara 100000
Fb page yao hawajaapdate wala hawajib customer care
Wanapost tu tangazo la kingamuzi chao halafu wanasepa mbioooooo!!!!!
Wateja wanabaki njia panda...
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kwamba uelewa wa watu katika kutambua namna jeshi hilo linavyofanya kazi zake ni mdogo kutokana na wanapo wakamata watu kwa tuhuma za makosa...
Nimefikia hatua ya kuuliza swali hili kutokana na vitendo vya TCRA kunyamaza kimya wakati star times wakiweka tozo kwenye channels za ndani au local channels kama TBC ITV CHANNEL 10 Star tv wakati...
Mpendwa Mtanzania Mwenzangu. Mpendwa "mwanachama" kabla ya Mtanzania. Na wanafunzi wa primary ya umbeya.
"Mtawajua kwa matunda yao"
Naomba kwanza niwaombe wale wenzangu wenye majibu kabla ya...
DC HAPI ATEMBELEA KIWANDA CHA UTOTOLESHAJI VIFARANGA CHA AKM GLITTERS.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ali Hapi ametembelea kiwanda cha kuzalisha mayai na kutotolesha vifaranga cha AKM Glitters...
Wakuu lengo sio kunyanyapaa bali ni kushea hisia ulizopata hasa baada ya kuambiwa "vipimo vyako vinaonyesha umeathirika". Ulijisikiaje baada ya maneno hayo.
Wakuu binafsi sijapima bado ila sipati...
Ukiwa unauingia uwanja huu wa kisasa na mkubwa kuliko ata viwanja vingi barani ulaya na Africa, unakutana na bango kubwa mbele yake linaloutambulisha uwanja huo kwa majina ya 'Tanzania National...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.