mkia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 581
- 511
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana majira kama haya saa mbili kasoro nilinunua kifurushi cha 5000. Mambo yakawa fresh nikapata huduma ya Chanel zao.
CHAKUSHANGAZA leo majira ya saa sita kuelekea Sabá mchana nacheki channel naambiwa access denied nabaki Na TBC1 Na Capital Tv. Yaani kiufupi wameniibia halafu nawapigia hawapokei simu yangu mbaya zaidi nakatwa salio.
Naomba ushauri wenu wakuu niwafanyaje hawa pia kama kuna ambaye anaweza kunisaidia namna gani nipate channel zangu bila kupoteza Siku nilizolipia.
Asanteni Sana kwa muda wenu kusoma uzi huu. Jioni njema