Wakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana...
Watu 32 wamefikishwa mahakamani kujibu shtaka la mauaji ya wanawake watano yaliyotokea katika Kijiji cha Undomo Kata ya Uchama wilayani Nzega.
Miongoni mwa waliofikishwa mahakamani leo Jumatatu...
Najerea maeneo nyeti kidogo kwa shughuli hii:
1. Malindi na Mekus ~ Moshi
2. Kahumba night park ~ Morogoro
3. Picnic, Shivas, Matako Bar etal ~ Arusha
4. Chako n Chako , UDOM ~ Dodoma
5...
PADRI Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mahenge, Parokia ya Lupiro wilayani Ulanga mkoani Morogoro ameiomba serikali kuingilia kati na kutokomeza wimbi la wezi wa mtandao ambalo...
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi...
Kwa wenye kuishi Dar es salaam, naomba mnitajie ni redio gani inayopatikana kwenye 103.3 mhz fm? mbona muda mwingi wao wanarusha matangazo kwa lugha ya Kiingereza??
Kipindi cha Tuzungumze Magazeti kinatakiwa kianze saa 12.30 asubuhi lakini cha kushangaza kinaanza saa 12.35 au hata zaidi ya hapo.
Pili kwa siku za karibuni wamekuwa wakisoma tu vichwa vya...
Mwalimu wa shule ya msingi katika kata ya Ligunga tarafa ya Matemanga wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Rajabu Morisi amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake na...
1. Ni ukumbi ambao unaweza (kwa wakati mmoja) kupata maoni/mawazo/fikra za watu/watanzania wa aina zote kuhusu mada iliyo mbele yetu kuhusu Taifa letu!
2. Unaweza kuuliza lolote ukapata...
Nafungua mjadala kama Mtanzania unaona rangi sanifu za utambulisho wa Shirika letu la Ndege la Tanzania je zinafaa na kukidhi mahitaji ya sasa?
Kwakuwa lilizaliwa upya, lazima kila kitu kiwe na...
JESHI la polisi Mkoa wa Kigoma, linawashikilia wakimbizi 19 wa Kambi ya Nduta iliyopo Wilaya ya Kibondo kwa tuhuma za kufanya fujo.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui, alisema...
Angalia hii Clip - Huyu jamaa ni hatari. mambo nje nje. Dont try at home!!
Jamaa anatumia mafuta ya Mzaituni kuita majini na mapepo baada ya kuyaombea dua maalum, hebu angalia hapa vioja mchana...
Huenda sie walimu wa sanaa tulikwisha mkosea kitu huyu rais wa nchi hii na kaamua kutusomesha namba sawa na akina manji, lugumi et al
itakumbukwa hata kura hatukupiga 2015 kwani uandikishwaji...
Habari wakuu,
Ni jambo gani la ajabu na aibu umewahi kulifanya ofisini kwako au kwenye gari lako, chooni, chumbani, uwanjani, mtoni nk kiasi kwamba unahisi kama watu wangejua ingekuwa aibu...
Hali hii ya macho kujitokeza nje kwa kiasi kikubwa ni dalili ya ugonjwa wa Graves' disease, jina Graves' linatokana na mtaalamu aliyegundua hali hiyo inayosababishwa na tezi ya thyroid kufanya...
Dar es Salaam ni jiji la watafutaji.
Kila mtu yuko bize kutafuta ngawira lakini gharama ya maisha huwa inakuwa kikwazo kwa wengi hasa wale ambao ni wabishi kujikana nafsi na kuwa flexible.
Kuna...
Mm ni mfanyakazi katika kampuni binafsi nina mwaka sasa miezi minne iliyopita nilipata ugonjwa wa kifua kiku u kampuni yangu ilinipa likizo ya kwanza nilipomaliza likizo Ali yangu ilikuwa bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.