Wazanzibari walalamika ubaguzi ATCL

Wazanzibari walalamika ubaguzi ATCL

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,140
Reaction score
10,857
Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.

Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na wanalalamikia utendaji wa shirika la ndege Tanzania la ATCL kwa kutokuwa na sura ya Muungano.

Wametoa mfano kuwa ajira karibia zote ndani ya shirika ni za watanzania wabara na pia safari nyingi za ndege za shirika ziko bara.

Ni vema Serikali ikaliona hili na kulifanyia kazi mapema kwani linatia doa Muungano wetu.
 
Jecha atawasaidia

Unahitaji kuwa Lissu kupangua hoja za Lissu
 
Mbona hatuwaelewi?Muungano wanataka au hawataki?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.

Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na wanalalamikia utendaji wa shirika la ndege Tanzania la ATCL kwa kutokuwa na sura ya Muungano.

Wametoa mfano kuwa ajira karibia zote ndani ya shirika ni za watanzania wabara na pia safari nyingi za ndege za shirika ziko bara.

Ni vema Serikali ikaliona hili na kulifanyia kazi mapema kwani linatia doa Muungano wetu.

Wazenji bwana kwenye kunafaika ndio hukumbuka muungano

Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.

Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na wanalalamikia utendaji wa shirika la ndege Tanzania la ATCL kwa kutokuwa na sura ya Muungano.

Wametoa mfano kuwa ajira karibia zote ndani ya shirika ni za watanzania wabara na pia safari nyingi za ndege za shirika ziko bara.

Ni vema Serikali ikaliona hili na kulifanyia kazi mapema kwani linatia doa Muungano wetu.

Wakati zina nunuliwa walichangia hata senti kweli?
 
Tatizo la hawa ndugu zetu wanapenda sana kulialia siku si nyingi tutegemee wakililia hata safari ya mbinguni nayo iwe ya muungano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watatusaidia kulipia bombadier ya huku bara?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.

Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na wanalalamikia utendaji wa shirika la ndege Tanzania la ATCL kwa kutokuwa na sura ya Muungano.

Wametoa mfano kuwa ajira karibia zote ndani ya shirika ni za watanzania wabara na pia safari nyingi za ndege za shirika ziko bara.

Ni vema Serikali ikaliona hili na kulifanyia kazi mapema kwani linatia doa Muungano wetu.
Hawa nao bwana,kwani Zanzibar ina share ATCL?Wakumbuke kwamba sio kila kitu ni cha muungano.Itafika mahali hata tukiunda kampuni ya Dala Dala watadai wawe makonda,kaazi kweli kweli. Huku wanadai kuwa na bendera na serikali yao yenye mamlaka kamili,huku muungano wanaupenda na kuuona una manufaa.Vinyonga hawa.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.

Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na wanalalamikia utendaji wa shirika la ndege Tanzania la ATCL kwa kutokuwa na sura ya Muungano.

Wametoa mfano kuwa ajira karibia zote ndani ya shirika ni za watanzania wabara na pia safari nyingi za ndege za shirika ziko bara.

Ni vema Serikali ikaliona hili na kulifanyia kazi mapema kwani linatia doa Muungano wetu.
Jamani lengo ni KUINUA na KULIKUZA SHIRIKA, Kwahiyo waajiriwa wanapaswa kutoka hata nje ya NCHI. ATCL siyo sehemu ya HISANI ya KUGAWANA ULAJI wa KISIASA jamani.

- Na kama mtafanya hivyo, SHIRIKA linakufa KESHO tu
 
Kwa mujibu wa nyongeza ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano (Mambo ya Muungano),

"USAFIRI NA USAFIRISHAJI WA ANGA"

ni namba 17 katika mambo 22 ya Muungano.
Hapo sawa lakini wana ZRA wakati TRA ipo na Mambo ya Fedha ni ya Muungano. Wana pick vitu for their convenience
 
Back
Top Bottom