kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Hichi king'amuzi ni majanga walah mara 100000
Fb page yao hawajaapdate wala hawajib customer care
Wanapost tu tangazo la kingamuzi chao halafu wanasepa mbioooooo!!!!!
Wateja wanabaki njia panda
Badilikeni muende na wakati acheni uzamani
Halafu mkipigiwa simu kuna mwanamke mmoja customer care anaropoka huyu utadhani yeye ndo mwenye kampuni
Kiukweli mnaboa