Wanabodi,
Tanzania ni nchi inayozingatia haki za binadamu pamoja na utawala wa kisheria. Kuna hili suala la panuzi za barabara zetu sehemu mbalimbali nchini.
Cha kusikitisha na kushangaza ni...
Kuna matatizo gani kwa upande wa ving'amuzi vya Azam tv, nimetafuta karibu eneo lote la Kariakoo mawakala wanasema hawana mzigo takribani wiki 3 tujulisheni kama wanataka kupandisha bei ya...
Nimejaribu kuuliza tuu kwa wadau kuhusu pombe kuwa imewahi kuwasaidiaje? Binafsi pombe haijawahi nitupa mkono. Imenipa marafiki wengi sana. Na hata mafanikio yangu nimeyapata kwenye pombe. Unaweza...
Rais magufuli amekuwa Mbunge wa Geita kwa miaka 20 toka 1995 had 2015.
Amekuwa naibu waziri toka 1995 had 2000. Toka hapo amekuwa waziri hadi 2015.
Cha kushangaza mkoa wake mpaka sasa ndyo wa...
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limekabidhi Kisima chenye thamani ya Shilingi Milioni kumi na moja laki saba na themanini (Sh. 11,780,000/=) kwa Serikali ili kutatua tatizo la maji...
Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguoza kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji...
Sheria ikoje wadau kwenye dawa za kulevya,mtu maarufu anashtakiwa kwa kukutwa na viashiria vya dawa za kulevya kwenye mkojo,je hao wengine mateja mbona hayapimwi wakawaweka ndani? Vibaya zaidi...
Mbeya. Wakazi wa Kata ya Maendeleo Wilaya ya Mbeya, mkoani hapa wameamua kuuza mali zao ili kuchangia ujenzi wa wodi ya wazazi katika kituo cha afya Ikhoho ili kuwaepusha wanawake kujifungua...
kumekuwa na theories kadhaa kuhusiana na kuungua kwa soko la sido mbeya. kama kawaida yanapotokea majanga kama haya kumekuwa na maneno ambayo yanaweza kuwa kweli au si kweli. kwa kizungu ni...
Guys waambieni madereva wote yakuwa kuover speed kwa sasa ina fine 3 kwa pamoja. Kosa moja unalipia Kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,000
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla like 200,000...
LEO KATIKA UCHUMI
Deni la taifa ni nini? (National Debt)
Deni la taifa ni pesa taslimu au rasilimali iliyokopwa na serikali kutoka kwa mashirika ,makampuni mabenki, taasisi au watu binafsi ndani...
Inanitokea mara nyingi watu kunifananisha na watu walio onana mahali pengine. Hili jambo libatokea kwa watu wengine pia!? Na hili jambo lina ashiria nini!!?
Habari wakuu,
Nimeona niwashirikishe hoja binafsi leo tupate kushirikishana maarifa na uzoefu.
Nimekutana na hali ya kushangaza sana kila ninakopita. Watu wadogo kwa wakubwa hunifananisha na...
Wadau amani kwenu
Kama nilivodokeza hapo juu,nipo Kibaha picha ya ndege na nahitaji kununua mbuzi jinsia yyte ilimradi anafaa kwa kuchinjwa...Kuna ligi ya mpira inaisha ijumaa hii na mshindi wa...
Wadau habari zenu!
Leo nimefika kwenye biashara yangu nimekutana na barua wakinitaka kununua mashine ya efd na wamenipa siku 7 la sivyo watakuja kupiga makufuli, Je hii ni sawa maana nina mtaji...
Walipotangaza jua litapatwa leo nikaamua sinema hiyo niifuate angani niione bila ya kuhadithiwa.
Nilichoambulia ni usiku wa ghafla kwa dakika tano anga lote giza baadaye jua likatoka tena ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.