Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali hii ya macho kujitokeza nje kwa kiasi kikubwa ni dalili ya ugonjwa wa Graves' disease, jina Graves' linatokana na mtaalamu aliyegundua hali hiyo inayosababishwa na tezi ya thyroid kufanya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Dar es Salaam ni jiji la watafutaji. Kila mtu yuko bize kutafuta ngawira lakini gharama ya maisha huwa inakuwa kikwazo kwa wengi hasa wale ambao ni wabishi kujikana nafsi na kuwa flexible. Kuna...
53 Reactions
141 Replies
17K Views
Mm ni mfanyakazi katika kampuni binafsi nina mwaka sasa miezi minne iliyopita nilipata ugonjwa wa kifua kiku u kampuni yangu ilinipa likizo ya kwanza nilipomaliza likizo Ali yangu ilikuwa bado...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bismillahir Rahmanir rahiim JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA Simu 0715536313 – S.L.B. 2055 Dar es Salaam TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - 27. 7. 2017 Ndugu Wana habari tumekuiteni ili...
11 Reactions
233 Replies
28K Views
Naona ukata umetamalaki mitaani, hii halmashauri ina tangazo la kuuza Viwanja lina zaidi ya mwezi sasa. Wamekosa Wateja?mbona bei rahisi kuanzia milioni tatu? Hii ina tafsiri gani?zamani wakati...
7 Reactions
22 Replies
7K Views
Kujua tatizo kwa uhakika ni muhimu sana kuliko kutokulijua na kuhangaika kulitatua! Nini hasa tatizo kuu la Taifa la Tanzania na watanzania ambalo tukilimaliza litakuwa na matokeo makubwa kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu Leo napenda kujua tumewakosea nini Hawa wamiliki wa mahoteli na migahawa iliyo pembezoni mwa hizi Barbara zetu mkuu Mshikaki wa mia mbili wao wanauza elfu moja,maji ya...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamvi. Poleni na changamoto za mchana kutwa. Naomba kusaidiwa juu ya wasifu halisi wa mmoja wa waigizaji walioshiriki kwenye series ya the promise two akitumia jina la Ina. Mr Smile
1 Reactions
3 Replies
3K Views
BISMILLAH ALLAH AKBAR! ALLAH AKBAR! ALLAH AKBAR! Nimesoma hii na nikalia sana na nikaona aibu kwa Allah kama sitasambaza kwa wenzangu. Maana ina faida na ajeer nyingi. Hii hadeeth qudsy ukisoma...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habri wana jamvi, Kama kama maelezo yangu hapo juu yanavyosomeka. Nahitaji msaada wenu tafadhar Mr Smile
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Calculations : P. Cech=> free Monreal=>2m Kosielny=>5 Bellarin =>3m Mustafi =>30m Chambalain =>7m Holding =>3m Ramsey =>8m Welbek=>13m Ozil =>40m Lacazate =>44m Xakha=>18 Walcott =>4...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
hawa ccm ni majizi sana ila inabidi utumie akili kuwagundua. 1)wanafunzi wanaoomba mkopo wanatakiwa walipe elf 3 ya Rita kwa ajili ya vyeti 2)continues students wanatakiwa walipe elfu 5 kwa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Toka juzi katkati ya jiji la Dar hasa mitaa ya makunganya, jamhuri karibu na roundabout ya Bharklesa , Bilcanas na kwingineko kulikuwa tafrani kubwa baada ya kuanza operation ya kukamata magari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi haya maeneo si tunaambiwa amani imejirudia jamani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
591 Views
TANESCO tunaomba mtuambie hii adhabu mnayotupu kila siku jioni kuanzia saa 12 hadi muda mtakapoamua kurudisha huu umeme wenu, adhabu hii itaisha lini, hivi kweli kuna sababu yoyote ya msingi ya...
0 Reactions
3 Replies
729 Views
Wote tumekua mashuhuda kwa yanayoendelea au yanayofanywa kuhujumu upinzaji katika nchi hii. Tumekua tukishuhudia ubaguzi wa wazi kabisa sio tu kwenye majukwaa bali hata katika utendaji hsa kwa...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Chama Cha Mapinduzi, kimebeba mzigo wa madeni. Msiri wangu hapa Lumumba amenidokeza kuwa chama kinadaiwa hadi na vyombo vya habari. Kimeshindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtandao mmoja wa Uholanzi (safari booking) imeitaja Tanzania kuwa kituo bora zaidi cha utalii Afrika kwa mwaka 2017 ikifuatiwa na Botswana huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Zambia. Wakenya mmpo...
13 Reactions
40 Replies
4K Views
Kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hii ndiyo ripoti ya usafi kwa Halmashauri za Majiji na Manispaa .. Moshi na Arusha zaongoza Kigamboni imeshika mkia. #TupoTayari
0 Reactions
20 Replies
17K Views
Hebu sasa wenye ujuzi na fani zao watueze bila Soni kabisa; kwenye ideal conditions ya hospital ukiwa na mfamasia, MD na muuguzi akaja mgonjwa wa malaria mgawanyo wa kazi zao kulingana na fani zao...
0 Reactions
5 Replies
807 Views
Back
Top Bottom