Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana JF. Katika mfumo uliopita uliokuwa unatumiwa na Traffic kunakili makosa ya madereva/magari , ungepiga *152*75# ungepata taarifa zote i.e sababu ya Faini, kiasi cha kulipa, reference...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Kuna ajali imetokea huko HUNGUMALWA wilayani Kwimba barabara ya MWANZA kwenda Shinyanga imehusisha Basi la kampuni ya Frester lilikuwa linaelekea Kahama likitoka Mwz pamoja na Lori lililokuwa na...
2 Reactions
38 Replies
11K Views
Hili ni tabiri linalosemwa sena na hawa mashoga, kwamba mpaka mwisho wa mwaka 2050, basi mashoga watakuwa ndiyo watawala wa dunia! Ni tishio sikatai, je yamaanisha vizazi vyetu vitatoweka?! Watoto...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna ajali mbaya imetokeo muda huu maeneo ya Matumbi Darajani. Ajali iyo imehusisha daladala la DCM linalofanya route toka Sim 2000 to Gongolamboto na lorry la scania. Hali ya Daladala...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Ni wajibu wa kila mtanzania kuilinda na kuiheshimu nchi yetu(kiusalama na kiuchumi),hakuna mtu kutoka nje atakayeweza kuilinda nchi yetu. Tufuate sheria na taratibu zilizowekwa,kama hujui jambo...
2 Reactions
1 Replies
720 Views
Ndugu wana JF, ninatafuta kampuni ndogo ya mjasiriamali mdogo kama mimi, ambaye ataweza kunitengenezea na kuweka nembo mifuko ya plastic kwa ajili ya mikate.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu ni kanisa la KKT au ni serikali? Au wamegawana hisa? Sielewi yani
0 Reactions
87 Replies
20K Views
Kama ukinywa damu kasi kidogo sana (labda vijiko vichache vya chai), na iwapo damu hiyo haina vijidudu vya bakteria au virusi vya magonjwa, basi damu hiyo yaweza isiwe na madhara kiafya. Kama damu...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Wanajamii forum nashukuru Mungu kwa kunipa motto wa kiume mwezi mmoja uliopita. Ila kuna kitu kimenishangaza sana na nimejaribu kutafuta majibu ya kisayansi hadi leo bado sijapata hasa jibu...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Katika ulimwengu wa waganga na wachawi, kuna kundi la wanaume ambao hujulikana kama WANAUME WANAOPITA DUNIANI BILA KUONEKANA au WANAUME WANAOPITA DUNIANI KAMA VIMVULI...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Walimu tunapata fursa tunazichezea! Ndio, kwa miaka mingi hapa nchini kumekuwa na matukio ya kunyanyasa au kudhalilisha walimu, na mara nyingi kesi hizo zimehusisha walimu na wakurugenzi au wakuu...
0 Reactions
3 Replies
832 Views
IGP Kamanda Sirro hii imekuwa kero kubwa sana kwa vijana wako wa Jeshi la Polisi kitengo cha traffic kuhusu mabadiliko ya matumizi ya Barabara katikati ya Jiji la Dar es Salama. Kuliwekwa alama...
7 Reactions
43 Replies
7K Views
Maborn town wengi walio humu JF na wajuzi wa mambo yanayoendelea ndani na nje sitakosa jibu natamani kumjua mwenye hilo jengo hapo Ubungo niliowauliza wamedai la Manji, wengine...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
By Inciter-In-Chief. BAADHI YA WATU MAARUFU WALIOWAHI KUFUNGULIWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI. (1) Namo tarehe 3 April Mwaka 33, Yesu Kristo alifunguliwa mashtaka matatu ya jinai na kati ya hayo moja...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni miaka kumi na sita sasa tokea nitengane na baba Kalunde mwanaume niliempenda katika uhai wa maisha yangu Ugomvi wangu na baba kalunde ni Mimi kuzaa mtoto wa kike mtoto wa kizungu Baba...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
BAADHI ya wasomi nchini wamehoji uzalendo wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wa kushabikia matatizo ya nchi yake badala ya kuwa sehemu ya kutafuta ufumbuzi. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Jana nilienda katika kituo cha police Oyster Bay kutoa taarifa juu ya kupotea kwa simcards zangu tatu. Nikiwa ninaingia pale getini, afande mmoja akaniambie nishuke kutoka katika gari nikaandike...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mtu anaitisha Press Conference halafu badala tu ya kutiririka na kuserereka Yeye kama Yeye muda wote anawahutubia Waandishi wa Habari huku akiwa anasoma kutoka katika Karatasi zake kile...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, pichani akivuna mahindi shambani kwake na mke wake mama Salma Kikwete na kusema kuwa: "Tunakamilisha msimu wa mavuno Kijijini Msoga...
20 Reactions
164 Replies
29K Views
Back
Top Bottom