Kuhusu salary ya July, kuna mtu hajapata?

Kuhusu salary ya July, kuna mtu hajapata?

Mi bado ila nimeenda kwa AFISA UTUMISHI nikakuta mshahara unasomeka kwenye system ila kuna kitu amerekrbisha na amesema utaingia baadaye
 
Ok mkuu..maana mimi pia nimemchek afisa utumishi kaniambia wanaendelea kuingiza labda nichek tena baadae au jioni hivi..maana nilikua nishaanza kuogopa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna mtumishi ambaye hajaingiziwa salary mpka muda huu kama mimi.? msaada wenu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wapo wengi sana,unajua baada ya huu mfumo kuanza kuna watu majina yamefanana kabisa ,hawa wote hawajaingiziwa mshahara inabidi wapeleke vyeti.Kuna watu wamefanana majina na wanajeshi siunajua uhakiki haukupita jeshini
 
Mimi Pia Sijapata, Nipo Hapa Crdb Nawaamshia Dude Maana Walikosea Jina Langu Na Nikawa Alert Muda Wabadilishe Hawakufanya Hivyo, HR Wangu Nikimpigia Hapokei Simu Yangu Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi HR since monday mchana ananiambia kuwa kuna marekebisho flan alitumiwa na hazina ayarekebishe en yy anasema ashafanya hivyo so ananiambia niendelee kuwa mvumilivu tu wataweka...sasa sijajua hadi lini hii situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wapo wengi sana,unajua baada ya huu mfumo kuanza kuna watu majina yamefanana kabisa ,hawa wote hawajaingiziwa mshahara inabidi wapeleke vyeti.Kuna watu wamefanana majina na wanajeshi siunajua uhakiki haukupita jeshini
Utanivunja mbavu
 
Back
Top Bottom