Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

17/10/2012 Juhudi za chini chini zimeanza kufanywa na baadhi ya Watanzania ambao hawajaridhika kuwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifariki kifo cha kawaida. Wito sasa umeanza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Moshi. Wakati kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro kikilalamika kupoteza asilimia 30 ya soko lake kwa madai bidhaa hiyo kuingizwa nchini kimagendo kutoka nje...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Dar es Salaam. Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) imesema imeandaa miradi ya kuboresha upatikanaji wa maji nchini na uondoaji wa maji taka. Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Kipindi kinaendelea TBC1, amewaonyesha 'live' askari wa Makambako - Iringa wanavyochukua rushwa na akasema hiyo ni awamu ya kwanza na watanzania wasubiri awamu ya pili, akiendelea kuwaanika...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe Paul Makonda amefurahishwa na ushindani wa kimuziki baina ya Diamond Platnumz na Alikiba kwa kusema unachangamsha muziki wetu huku akiwaonya kuwa kazi zao lazima...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Mimi ni mteja wa TANESCO kwa muda mrefu. Mwezi huu tarehe 19/8/17 nilinunua umeme na makato yake yakawa hivi. Ambapo nilikatwa TAX tu. Leo tarehe 29/8/17 nimenunua tena umeme nikaona kuna...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Khairat Omary, ameishtaki Hospitali ya Kairuki na kudai fidia ya Sh milioni 155 kwa kumsababishia matatizo katika mfuko wa uzazi yaliyofanya aondolewe kizazi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hali ya Huduma za Afya huweza kutumika kama kipimo cha maendeleo ya nchi. Kama taifa, Tanzania tumekuwa tukihangaika kuweza kuboresha hali ya huduma za Afya nchini. Mnamo 2015, mara tu baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unaitwa nani? Una mademu wangapi? Utakufa lini Ulizaliwa lini Paka ana umbo gani Unaijua sura yako Umeoa Mama yako yupo Unaoga mara ngapi We na baba yako mna undugu Hatari sana kujibu utajibu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa takribani wiki mbili sasa moja kati ya habari iliyovuma ni zoezi ubomoaji wa nyumba zinazodaiwa kujengwa ndani ya hifadhi ya barabara Zoezi La ubomoaji nyumba siyo geni nchini hata hivyo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TP@
Wafanyakazi walalama njaa kali na manyanyaso kutoka ngazi za juu posho zatolewa kwa Upendeleo. Wafanyakazi ngazi ya chini posho zao zimekatwa na wakati wao ndio wanaoliingizia pesa sh*r*k* Sent...
0 Reactions
5 Replies
621 Views
Habari wadau natumai mpo salama, Week 3 zilizopita nilipata wasaa wa kutembelea nchi ya israel kwa ajili ya mapumziko na mafunzo jinsi gani wenzetu wanafanya maisha yao. Nilikua na shauku ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu wananzengo wenzangu wa Tanzania, na hususani wana JF tumepatwa na msiba. Mwana-Jamii Forum mwenzetu kennedy lufulondama hatukonaye tena duniani. Amefariki jana majira ya saa 1:00...
6 Reactions
287 Replies
22K Views
serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetangaza kuanza kuajiri walimu kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,jumla ya walimu watakaoajiriwa ni elfu ishirini,
0 Reactions
22 Replies
5K Views
20 Who could have known Mugabe would ever have a daughter as cute as her considering his own look. Bona Mugabe 24-year-old daughter of Zimbabwe President Robert Mugabe clearly took the 10th spot...
3 Reactions
169 Replies
59K Views
Waandishi wa habari (sio wote please, nieleweke) wetu jiongeze weledi katika kazi yenu. Kuweni wabunifu na jisomee kuongeza maarifa. Acheni ushabiki wa mtu, siasa etc, maintain professionalism. Be...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada.. ukiota ndoto inayohusiana na paka ina maana gani kulingana na maandiko matakatifu . Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Kiini hiki kikipatiwe ufumbuzi suala hilo litapungua kabisa. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Venerose Mtenga...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Nimefuatilia sakata la kuripuka na kuungua kwa ofisi za IMMA na tamko la TLS na mvurugano miongoni mwa wanasheria wa nchi hii, nimegundua ni vigumu mno kupata haki ndani ya nchi hii kama watetea...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF Neno tajwa hapo juu lahusika, hili neno limekua na faida na madhara makubwa sana kwenye maisha yetu sisi wanaume. Kwenye maisha ya kila siku, invoice zimetufanya tuwe wabunifu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom