Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini Wakuu, Nilikuwa na safari leo asubuh ya kutoka Dar kuelekea Mji Mkuu wa Tanzania yaani Dodoma kwa kutumia shirika la ndege la Air Tanzania. Safari ilikuwa ya kuondoka Dar JNIA saa 6:00AM...
25 Reactions
145 Replies
14K Views
Wenyeviti wenzake wameamua kumchukulia hatua kwa kuwatapeli watu na kuwauzia viwanja vilivyotengwa kwa ajili ya kutunza mazingira kipindi cha mkuu wa mkoa Makamba.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NDIVYO wanavyotania, eti ukitaka kushika wadhifa mkubwa katika Serikali ya Kenya, basi oa mwalimu! Wanadai ndiyo `nyota’ mpya ya madaraka ilikolalia. Kisa? Kwa kuwa Margaret Kenyatta, mke wa Rais...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Muda mfupi ujao Umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) utazungumza na wanahabari kuhusu hali ya usalama nchini ikiwemo suala la kuvamiwa kwa ofisi za kampuni ya uwakili ya IMMMA Advocates...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hizi taaluma mbili sheria na uandishi wa habari zilitumika vibaya tangia enzi za Masihi ( Yesu ) ili kumuangamiza, na kwahiyo zimekosa kibali machoni pa Mungu. Kamwe wanasheria na wanahabari...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
- Nimejaribu kuliangalia suala hili mpaka inashangaza, watu wengi wako tayari kumeza au kufuata maagizo ya mtu fulani au media fulani. - Yaani unaweza kukukuta mtu mzima na familia yake anakatazwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilianza hivi: 5th July 2017 Ali Kiba has been named partner and shareholder to both the Record Label and Management Company Rockstar4000 in addition to the audio and audio-visual content company...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Mda fulani kulikua na malalamiko kua traffic wanapiga sana fine za makosa ya usalama barabarani hadi watu wakifikia hatua ya kuwaita PRA lkn kwa siku za hivi karibuni naona malalamiko hayo hayapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanafunzi kutoka shule ya wasichana feza Rahma R Masele ameibuka mshindi kwa kuipeperusha bendela yetu ya Tanzania kwa kushinda kua best junnior debate speaker kwenye mashindano ya world scholars...
8 Reactions
54 Replies
6K Views
Kwa wale wakazi wa Dar kuanzia miaka ya mwishoni mwa `1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990 pale kituo cha polisi Msimbazi kulikuwa na askari mmoja mkakamavu kwelikweli ambaye alikuwa kiboko cha...
2 Reactions
98 Replies
26K Views
Nipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji. Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana. Nawatabiria...
9 Reactions
98 Replies
12K Views
Jijini Arusha Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Jukwaa huru la ubunifu, sayansi na elimu teknolojia maarufu kama TEd- Global talk. Kwa kuliona hili nikafanya udadisi kidogo kujua...
1 Reactions
0 Replies
721 Views
Over two decades ago, Strive Masiyiwa took the Zimbabwean government to court in a grueling five-year legal battle. Masiyiwa had been planning to launch his own mobile telecoms company, but the...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemuota mchungaji au (pastor) wa kanisa ninalosali akiwa uchi wa mnyama juu ya madhabahu,hii imenitokea zaidi ya Mara tatu,na nimeogopa kumuambia hii ishu,je ina maana gani? Sent using Jamii...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Na Mgeni wa Jiji Habari za saa wakuu, kichwa cha habari tajwa hapo juu chahusika. Nikiri wazi kuwa mimi ni miongoni mwa watanzania wasio na elimu ya namna ndege zisizo na rubani zitakavyo sambaza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu Abubakar Zuberi anafanya mazungumzo na waumini waliokwama kusafiri kwenda kufanya ibada ya hija Makka, Saudi Arabia. Waumini hao takriban 100 walikwama kusafiri...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ndio Tanzania Mtu aliyeajiri watu maelfu na kulipa kodi ya mabilioni anashtakiwa na kulazwa rumande kwa kosa la dawa za kulevya Chidi Benz na wenzie ambao hawana hata vibanda vya...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu Shule 29 za msingi na awali katika Manispaa ya Ubungo zimefungiwa kwa kukosa usajili baada ya ukaguzi unaoendelea wa kukagua shule zote katika Manispaa hiyo . Afisa Habari wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba ushauri wenu wadau kama naweza kusoma chuo gani baada ya hapa
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwakweli nimeguswa na demokrasia nayoiona Kenya hivi sasa uchaguzi wq Kenya unachalengiwa live toka mahakamani na unaonyeshwa na karibu televisheni zote kubwa. Hongereni wakenya.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom