Wakuu tushirikishane raha na karaha za invoice

Wakuu tushirikishane raha na karaha za invoice

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
16,058
Reaction score
40,617
Habari wana JF
Neno tajwa hapo juu lahusika, hili neno limekua na faida na madhara makubwa sana kwenye maisha yetu sisi wanaume. Kwenye maisha ya kila siku, invoice zimetufanya tuwe wabunifu, tuongeze bidii katika biashara na kazini (kwa wale walioajiriwa). Lakini katika mapenzi, hili neno limekua na madhara makubwa sana pale ambapo upendo haupo ila invoice inazidi kuwa kubwa. Wakuu embu tushirikishane raha na karaha za invoice.
 
Kama ni mkeo/mchumba/rafiki wa kike akikupa Khati kifani (invoice) inakuwa na ujumbe huu:

Jina lake, sababu na kiasi anachokuomba umlipe/umpatie, na hayo malipo utayafanya kwa kupitia aidha bank, tigo pesa, m-pesa, airtel money, halo pesa au taslimu.

safi sana, ukipewa invoice usidharau kwa kuwa unadaiwa ulichotumia au unachotaka kutumia.
hahahahah
 
Nashukuru kwa nasaha, leo nimetanua uelewa wangu wa lugha "khati kifani"
 
hahahahhahha, ndio hivyo tunalazimisha kukienzi Kiswahili chetu
WARAKA MIZANIA = balance sheet
TRIAL BALANCE = Urari
Safi sana, hayo ni maneno adhimu kwenye tasnia ya wahasibu, ngoja na wengine waje watuelezee gynecologist na mixologist wanaitwaje kiswahili
 
Back
Top Bottom